Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,532
- 113,667
Jeremy, nimetambua kosa langu na nimeomba msamaha.Kwa bahati mbaya hoja zako zote zimekuwa clouded by emotion .
kulikuwa na ubaya gani ukatoa maelezo bila kutukana na kurusha maneno makali hivyo?
Nilitaka kukunga mkono lakini nashindwa na sababu kuu ni 3:
1. Wananchi hawajaelimishwa juu ya hizi ripoti za CAG na ukweli ni kuwa nyingi ni za kiingereza kigumu ambacho wengi hawajui.
2. Ofisi yake haijatoa elimu kwa raia hata kupitia michukiz blog ili watu wajue mtiririko mzima wa kuanzia ukaguzu, kuandika na majibu yanaotolewa na hao waliokaguliwa, na pia utaratibu wa kuziweka mtandaoni. Waliposema kuwa ripoti itakuwa hewani lhamis hawakusema kuwa baada ya kupelekwa bungeni sasa mleta hoja kakosea nini kuulizia hilo?
3. Ndio Ludovick utuo ni incompetent na zipo threads nyingi tuu humu ambazo ofisi yake imelaumiwa sasa unataka kukataa nini?
4. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 40 sasa unataka kutuambia kuwa kati ya hao anayeulizia ripoti za CAG ni mpaka atumwe? acha dharau zao hizo.
5. Kwa mtu mwenye nafasi yako kuja humu na kutoa matusi si mahala pake kabisa kwa sababu ya heshima yako kama kaka na baba pia. hivi utajiskiaje wanaokujua wakija na kusoma matusi unayovurumisha humu?
Pasco you are better than that.
1. Sii kweli ripoti ni za Kiingereza. Za
Kiingereza zipo na za Kiswahili zipo.
2. Elimu kwa umma haitolewi kupitia
Michuzi Blog!, elimu kwa umma
inatolewa kupitia media TV, Redio na
Magazeti! yote haya yamekuwa
yakifanyika!.
3. Hili la competance ya Uttouh, I reserve
my comments nisije kuwa emmotional
tena nikakutukana na wewe!.
4. Nimesha liombea msamaha.
5. Ni kweli nimejuta ndio maana
nimeomba msamaha!.
I'll be better than that.
Pasco