Duh! kweli unajua kutetea inatosha sasa Funda moja zaidi litamuumbua Filikunjombe.
habari za hivi punde zinasema wananchi walioandamana hawakuwa na tatizo na deo filikunjombe, kama mbunge wao. " Deo tunamkubali ila diwani hatumtaki kabisaaa, yalisomeka baadhi ya mabango." Deo alikuwa amewapigia magoti ili wamsamehe diwani mwakasungura. Na wananchi walimwelewa, it's good to be humble, sometimes. Ludewa tunampenda Deo Filikunjombe; he's a smart, bright guy. Deo ataiweza Ludewa.
Wanamagamba kwa usanii huwawezi masikini hao watoto wanashangaa tu.
katiba ibadilishwe watu wagombee kibinafsi tu ndo dawa isiyo na fitna.hapa ndipo utaona umuhimu wa ile sheria ya kum recall kiongozi endapo ameshindwa kuwatumikia wananchi wake.
Inaelekea 90% ya watu hawamtaki mwakasungura lakini sheria ya uchaguzi inampa mamlaka ya kuweza kukaa madarakani kwa miaka mitano ingawaje wananchi hawamtaki. Wananchi ndio wanaomuajiri na lazima sheria iwape pia uwezo wa kuweza kumtimua mhusika kama wakiona hawaridhiki na utendaji.
Ktk katiba mpya ili lazima lifikiriwe kuwapa wananchi uwezo wa kuweza kumuondoa kiongozi wao kabla ya miaka mitano kama hawaridhiki na uongozi wake.
huyo ndiyo nani kapiga magoti hivyo? Mbona wanaomsiliza ni watoto?if only viongozi wengine wangekuwa na nidham kama huyu