Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Aisee.... Kumbe machadema wengi wanashinda kwenye page ya mange kima mbi?
 
Ukifuata na kuamini anayosema Mange Kimambi utajikuta umekuwa Mtu wa ajabu ajabu,maana hana maadili hata tone
Mkuu sasa maadili angeyatolea wapi ikiwa baba yake aliuawa kwenye fumanizi!si tumzowee tu.
 
Aisee. Huyu MBUNGE anavovuliwa nguo sidhani kama kuna mbunge mwingine atakuja kuropoka hovyo hovyo bungeni maana ataogopa file lake kuwekwa hadharani.
 
Aisee. Huyu MBUNGE anavovuliwa nguo sidhani kama kuna mbunge mwingine atakuja kuropoka hovyo hovyo bungeni maana ataogopa file lake kuwekwa hadharani.
Mkuu nasikia ukigusa tu anakupeleka topeni lazima uchezee tope
 
Mkuu nasikia ukigusa tu anakupeleka topeni lazima uchezee tope
Huyo siyo mke wa kuoa. MTU ana miaka 46 anaolewa na mtoto wa mwaka 1991?. Kweli?. Hii laana ya kupenda ngono. Difference ya miaka 20. Najiuliza kama huyu mama alikuwa na watoto before huyu baba yao watamtii kweli maana umri wa baba yao ni sawa na umri wa watoto wake . IPO kazi.
 
Yip na uraia aliombewa kwa apson amsaidie
Hata ivo alkua mzuri kipindi chake kabla ajazeeka pia kwa kushoboka tuu ajambo
 
Kiufupi huyu dogo kila siku Lucy anampa laana kitendo cha kumvulia nguo ni kumlaani maana lazima Lucy mashavu yameshuka dogo ni njaa tu imempiga kafata kitonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…