Wafia dini wa Lumumba huwaoni? Au kwa sababu ni wa upande wako hawaguswi wao hawana makosa siyo. Haya ndio matatizo yenu vijana wa CCM kwenu nyie serikali hii ni kama inaongozwa na malaika vile.Nilishapendekeza hapo awali kwamba jukwaa hili lilishavamiwa na wafia dini wa Ufipa ambao kamwe huwa hawataki kusikia cv za mwenyekiti wao MBOWE kwamba pia kuna kila haja kwa mods kuangalia umri wa wadau wa jukwaa hili. Kuna mambo mengi ya kitoto yanabishaniwa humu alimradi yaweze kupotosha malengo mazima ya yaliyosemwa na mbunge. Kiukweli Mh. Lucy Mayenga ametoa neno Jema lisilo na upendeleo wowote au mrengo wowote ili tu kuwafanya wanaopenda kupotosha na kuharibu taswira ya bunge waache. Si upinzani wala chama tawala ndani ya bunge ni kweli baadhi yao wanatumika.
Mkuu, siyo utafuniwe kila kitu. Tafuta link ya marehemu Mtikila akiielezea vizuri Bahima empire(Tutsi) na jinsi inavyotaka kujisimika Africa Mashariki ikianza na Rwanda, Uganda, DRC na kisha Tz. Huyu Lucy amejieleza mwenyewe hebu msikikize tena.Lete uhusiano wa Mtikila, Mayenga na Rwanda basi tudadavulie macho hayaoni, masikio hayasikii,
Ebu rudia kusoma ulichoandika halafu utafakari kwa makiniKutukanwa ni jambo la kawaida kwa nchi zinazofuata demokrasia ilimradi ulisaini mwenyewe mkataba bila shuruti na rais ni binadamu kama wewe japo linakutisha jina la Urais
Acha akawe kipoozeo huko bungeniKashfa za Lucy hazijaanzia kwa Mange! Nakumbuka hata humu jf tumewahi jadili kuhusu kiumbe huyu mara baada ya kuteuliwa kuwa dc na picha zake zilisambaa mitandaoni
Ndio maana huoni tatizo kwa Mange kumtukana rais wa nchi!!!Muda mwingine ni bora ukaingiza kidole katikati ya uwazi wako ukajinusa na kuendelea kula kiporo cha pilau la jana
Nasikia tu yeye kawadhulumu au kawatapeli wabunge wenzake matrekta zaidi ya wabunge watatu. Sasa hapo sijui uadilifu wake upoje.Who is Lucy Mayenga? Simjui vema ila amesema kama ilivyotakiwa kusemwa. Bungeni nako kuna wabangaizaji kwa kivuli cha kuwakilisha wananchi
Wewe inaonyesha umemjua mange juzi tu alipoanza kumpost Magu yule humchana yoyote yuleKumwamini mtu anayediriki kumtukana rais wa nchi matusi ya nguoni kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza!!!!!hii ni aibu kujipambanua mbele ya kadamnasi kwamba unamuamini mtu wa aina hii
We ulitaka amsifie ili roho yako isuhuzike?Ndio maana huoni tatizo kwa Mange kumtukana rais wa nchi!!!
InterestingNasikia tu yeye kawadhulumu au kawatapeli wabunge wenzake matrekta zaidi ya wabunge watatu. Sasa hapo sijui uadilifu wake upoje.
Niwe nimemfahamu leo au miaka kumi iliyopita ukweli unabaki pale pale,huyo dada ambaye inaonesha mnamuamini sana,hata kama kuna mazuri anayosema bado kumtusi rais wa nchi matusi ya nguoni mtu aliyemzidi umri kwa mbali, si sawaWewe inaonyesha umemjua mange juzi tu alipoanza kumpost Magu yule humchana yoyote yule
Kasome Bible Yesu AlitukanwaNiwe nimemfahamu leo au miaka kumi iliyopita ukweli unabaki pale pale,huyo dada ambaye inaonesha mnamuamini sana,hata kama kuna mazuri anayosema bado kumtusi rais wa nchi matusi ya nguoni mtu aliyemzidi umri kwa mbali, si sawa
Inabidi umzoee tu lowasa alizalilishwa mno na ccm mkachekelea mno hasa kipindi cha kampeni mukamwita shujaa matokeo yake kavimba mapembe anatukana yoyote anavojiskia tena had watu wanaomzaa kabisa bila aibu. Hamna namna zaidi ya kumzoea tu.Niwe nimemfahamu leo au miaka kumi iliyopita ukweli unabaki pale pale,huyo dada ambaye inaonesha mnamuamini sana,hata kama kuna mazuri anayosema bado kumtusi rais wa nchi matusi ya nguoni mtu aliyemzidi umri kwa mbali, si sawa
Walimfanyia nini mkuuLucy aliwahi olewa na mbunge mmoja wa Lindi lengo awe inner cicrle kwa JK..awe anaratibu mtandao!! Walichomfanyia anajua mwenyewe!! Njaaa mbaya sanaaa!!! Huyu sio Raia!!! Muda wake umefika uhamiaji wamrudise kwao