Lucky dube vs Bob Marley nani alikuwa bora kwako?

Lucky dube vs Bob Marley nani alikuwa bora kwako?

Hapo ni sawa na kumshindanisha baba na mtoto.

Bob mshindanishe na wazee wenzie wakina Burning spear, Peter Tosh nk.

Dube mshindanishe na wenzie wakina Senzo nk.

Sababu huyo Lucky Dube mwenyewe alikuwa anampa respect Bob na kashagonga copy kibao za Bob kwenye show zake, rejea show ya Dube in Jamaica na Zimbabwe aliwarusha raia na ONE LOVE

Usisahau
Bob alizaliwa 1945
Dube alizaliwa 1964.

By my side Dube alikuwa anatisha
 
Bob Marley alikuwa zaidi, Bob alitingisha dunia ikiwemo CIA, japo Dube ni mzuri pia, ila hamfikii Robert Nesta Marley. 😅
 
Back
Top Bottom