Lakini huyu sijui kama ana mapenzi ya kweli na chama chetu.
Lakini huyu sijui kama ana mapenzi ya kweli na chama chetu.
Wakuu, habari tulizozipata hivi punde ni kwamba, aliyekuwa Mbunge wa Nzega kisha akaangushwa na bashe Katika kura za Maoni ila Kamati kuu wakampa Kigwangallah Ubunge wa zawadi, katimukia CHADEMA.
Ana mpango wa kujaribu kulitetea jimbo hilo kupitia chama hicho cha makamanda wakukomaa hadi kieleweke CHADEMA.
Kwa miaka aliyokaa nje yawezekana kabisa akafaa. . . . .