Phd holder wa propaganda 🚮Ni mtaalamu wa masuala ya uchawa nchini
Hakuna Mwashambwa kanda ya ziwa mkuu tafadhariNi mtu wa zanzibar anatumia jina la kanda ya ziwa km sikosei
Ujasusi wangu unasema ni mzanzibar
Ni Executive Director wa Shirikisho la vyama vya Chawa wa Mama!GTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
GTs,

Malaria sugu kwani hayumo?GTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Namuona Mwashambwa anavyojipakulia tu minyama ni kucheka tu kwenye reactions 😂GTs,