LRA ni aibu katika region yetu i.e EA??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LRA ni aibu katika region yetu i.e EA???

Discussion in 'International Forum' started by Tumain, Jul 13, 2009.

 1. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  UN imetoa taarifa kwamba Lord Resistance Army led by Joseph Kony imeajiri watoto zaidi ya 20,000 kwenye jeshi lao, wakiwemo watoto wa kike ambao wanatumika kama wives (ngono) tangu ilipoanza vita vyake miaka ya 1990's. Kwa mujibu wa report hiyo LRA ina recruite watoto mostly kutoka Kongo RDC na Uganda.
  Pamoja na kutumia watoto wameshafanya mauaji ya kushtukiza katika vijiji vingi nchini kongo, uganda na sudan na kusababisha vilema, umaskini, magonjwa na zaidi ya wakazi 220,000 nchini pekee na wengi zaidi ya hao Uganda makazi yao yameharibiwa na LRA.
  LRA ni kikundi cha kigaidi cha Kikristo katika ukanda wa maziwa makuu na east africa community, tunawaalani kwa uharibifu huo wa maisha ya watoto na raia wasio na hatia.
   
 2. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  I think the African leaders should have to put in place the deliberate decision of arresting Joseph Kony and his leading top officials so that this crime will be stopped over the innocent people especially women and children. If Tanzania went to Comoro and stop violation there and Ugandans military army went to Somalia to stop violence there. Why are they failing to do the same in Uganda? I think charity begins at home and not away from home. Please East African leaders wake up and do something about this human rights violations
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Inatia aibu sana kikundi hiki kipo zaidi ya miaka 20 sasa kumeshafanya mauaji ya kutisha na kusababisha vilema wengi kongo na uganda...sijui kwanini international media na watu kama kina Annan hawalishughulikii hili ...so many people are dying???
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  LRA sio kikundi cha kikristo... ila kinajiita kikundi cha kikristo! Hawa ni wauaji na hakuna kanisa au mkristo yeyote anayewaunga mkono.
   
 5. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Katika moja ya madai yao ni kwamba wanataka uganda "Iongozowe kwa amri kumi za mungu kwa mujibu wa biblia"
  Hakuna kanisa au mkristo yeyote anayewaunga mkono inaweza kuwa kweli au si kweli serikali za nchi za maziwa makuu wantakiwa wawashike hawa jamaa haraka iwezekanavyo kama walivyofanya commoro.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hakuna haja ya kusubiria hawa watu waadhibiwa na Mungu wao baada ya kufa. I doubt if these people have a God. Wana stahili kuadhibiwa hapa hapa.
   
 7. green29

  green29 JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 35
  Ni kikundi KINACHOJIITA cha kikristo! Kweli wanayofanya ni aibu tupu na kwa mujibu wa mafundisho ya kikristo wafanyayo uovu na ni kazi za ibilisi.
   
Loading...