Lowassa/Zitto Kabwe wapeleka kilio CCM

Lowassa/Zitto Kabwe wapeleka kilio CCM

Mm nipo karatu hapa huwez kulinganisha na hizo halmashauri nyingine wafanyabiashara wadogo tuna enjoy ,,hakuna kodi za kijinga.....vibanda hapa sokoni tunalipia shilingi miambili kwa siku....nenda huko kwa kwa maccm .....kodi zinazid mitaji......

Mkulu hiki kitu kidogo ulichokiandika ndio kinawapaga ushindi watu wengi kuliko hata hizo flying over wanazopambania
 
Dah! ndugu yangu unampiga mno jamaa! punguza makofi kidogo

Mkuu kuna watu ushabiki unawafanya wajitoe ufahamu, lazima waamshwe kwa nguvu ili wachangie maswala ya maendeleo bila ushabiki, muache aendelee kuimba hapa kazi tu wakati amelala chini ya mti mchan kutwa akitegemea kuishi kupitia kuomba.
 
Kwa matokeo ya Uchaguzi mkuu uliopita, ikiwa CCM wanalia , Lowassa anacheka?. CCM inapopata Wabunge zaidi ya theluthi mbili ya wabunge wote wewe unajiita mpinzani bado unashangilia? Malengo ya Lowassa na upinzani yalikuwa ndo hayo? Badala ya kujitathmini kwa nini wameshindwa wanabweteka. Unakuwaje na amani unapolipoteza jiji kama la Mwanza? Basi nimeamini Upinzani haujajiandaa kuongoza nchi na ndiyo sababu ilifikia hatua kusubiri CCM iwakate watu ndo wawachukue. Halafu katika akili ya kawaida inakuwaje mwanafunzi aliyefeli kabisa mtihani katika shule fulani akahamia shuleni kwako aonekana ndiye mwenye akili kuliko wanafunzi wote wa shule yako, halafu unakubali kwenda kumpambanisha na mwanafunzi aliyefaulu sana katika Shule ile ambaye huyo mwanafunzi wako alishindwa? Unatarajia nini?. Endapo Vyama vya Upinzani watakubaliana kuungana, tutaona upinzani wa kweli Tanzania. La sivyo mtaishia kususia Uwanja wa Taifa na kuandamana tu!!

...huo mfano wa mwanafunzi ni pure irrelevant; hizo maksi za kufaulu huyo mwanafunzi zilikua ngp?!
 
Kusoma na kuelewa ni vitu 2 tofauti, We umesoma tu, inawezekana usielewe kabisa! ila si lazima uelewe kama hoja hii ipo juu ya ufahamu wako.
 
Hizo ndio siasa za choo mnazungumzia amani idumu waakati hata hamzungumzii haki si nyie wanasiasa wala viongozi wa dini ajabu sana.
 
Back
Top Bottom