Lowassa vs Sumaye nani mwenye hela zaidi?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Wote ni Waluteli, wanatoka Arusha, weupe kwa rangi, wamesha wahi kuwa mawaziri wakuu.
Wote walikuwa na kashfa ya kujilimbikizia mali.
Nani zaidi?
 
'hatukuja kuchagua sura hapa, kama unampenda nenda kanywe nae chai we kijana ni tajiri kuliko mumri wako?" nukuu- J K NYERERE.----- huyo kwa mtazamo wangu kamzidi mwenzake.
 
Mafisadi wanaona haya kutaja mali zao. Lowassa ni tajiri kawekeza sana Tanzania, Sumaye kawekeza sana nje ya nchi haswa South Africa na Dubai.
 
awafai hao pale nyamongo sumaye alikuwa anachota tu dhahabu kila akienda eti anapewa zawadi ya jembe la dhahabu kwa nini asiwe tajiri na kujenga mahotel south africa kwa nini lowasa asiwe na majumba ulaya wakati ni mwizi wa mali za watanzania kama ni pesa wanazo nyingi kama ni kuzidiana ni kidogo sana
 
toeni ushahidi wa Mali zao ili tulinganishe kwa uzuri zaidi tukiwa na facts
 
Sasa huyo atakyeshinda kati ya hao mabwana wawili tunamfanyaje?
Mdau hii thread ungeitupia kule kwenye udaku!!
 
halafu ukishaupata utaupeleka wapi we kiazi!!!

Itatusaidia kujua yupi katosheka na utajiri ili tumkabidhi nchi, hataendelea kutuibia rasilimali zetu. Na kama ataendelea basi ataiba vigubwa na sio hivi vidogo vya mlalahoi.
 
Wote ni WALUTELI, wanatoka Arusha, weupe kwa rangi, wamesha wahi kuwa mawaziri wakuu.
Wote walikuwa na kashfa ya kujilimbikizia mali.
Nani zaidi?
Suala la Ulutheri linashabihana vipi na mali za mtu hapa? Au unataka tuanze kutaja machafu ya watu na imani zao hapa? Acha utoto wa kichambuzi
 
Hakuna mwenye pesa hapo wote ni wezi.
Hayo mashindano yafanyike wakiwa Keko au ukonga, hapo kweli nitapiga kura.
 
wote hao ni maskini, ila wana pesa za wizi walizowapora watanzania.
 
Unajua Poooti, shida zetu ni kwa tunachagua wamasikini kutulinda ---- na unajua MASIKINI akiingia madarakani ni kulooot tuu due to the circumstances he grew up and brought up with. POOR FAMILY BACKGROUND lazima. Mfano ni JK --- Masikini na lazima atafune nchi sawa sawa because ajaota kwa siku moja atakua RAIS. Wenzetu Western World there background ni RICH kwa hivyo atakama wata looot ni kidogo sana.

Wenzetu hawa wanafilisi nchi wakuuza nchi na wananchi wao. LAZIMA TUU WAWE NA MALI. LAITI wakifa wanaenda nayo kweli I would also fight hard to loot. Lakini all invain worse for them ni kwamba wa KKKT baridi.
 
Wote ni Waluteli, wanatoka Arusha, weupe kwa rangi, wamesha wahi kuwa mawaziri wakuu.
Wote walikuwa na kashfa ya kujilimbikizia mali.
Nani zaidi?

Mshaanza majungu. Hapa Tanzania sijaona huyo tajiri mimi, maana wote hao mnaowataja tunapishana nao mitaa ya samora kutafuta mafuta ya taa. watoto wao tunakula nao chips za mama ntilie maofisini, hata hivyo kama wana ziada na hawajawahi kufikishWa mahakamani kwa tuhuma za wizi na kifisadi kama wakina Mramba hao bado ni watu safi, ndiyo maana gazeti moja limeshafilisika baada yakumzushia huyo SUMAYE kuwa ni fisadi, kitu ambacho lilipotakiwa gazeti hilo kuthibitisha mbele ya mahakama kuthibitisha tuhuma hizo lilishindwa kitu ambacho lilimlipa fidia Sumaye na kupelekea kufilisika.
 
Kwani hao wote wawili 'wananguvu kubwa kiasi gani' hapa nchini, ikiwemo na ushawishi wa siasa za ndani?
 
Back
Top Bottom