Kume wote walutheri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
So what wakiwa walutheri???????????????
Kume wote walutheri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Naunga mkono hoja!!!!!Mdau hii thread ungeitupia kule kwenye udaku!!
Suala la Ulutheri linashabihana vipi na mali za mtu hapa? Au unataka tuanze kutaja machafu ya watu na imani zao hapa? Acha utoto wa kichambuzi
Hmmmm and this was 2011...Wasemeni tu lakini wenzenu wameshaungana kuusaka urais 2015