Lowassa, vitabu vitakatifu vinasema malipo ni duniani

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
Lowassa kupitia rafiki yake Apson zipo siri za ndani kuwa nyie ndio mliandaa mpago wa kuwapa sumu wafuatao,

1, mwandosya ,lengo kuondoa list aliyoiacha nyerere baada ya kuona utachelewa upata urais na umri wako unaenda,
2, mwakyembe ,kwa ajiri ya richmond
3, magula baada ya kuwepo mpango wa kukuwekea ngumu kupita ndani ya ccm
4, kipindi cha mkapa baada ya magufuli kukuta umejenga mahotel kwenye ifadhi ya bahali na kusema ya bomolewe wewe na marafiki zako mkaanda mpango wa kumpa sumu na baada ya siri kufichuliwa mkapa akampa ulinzi,

mimi nasema kweli mungu kama yupo na ni mungu wa kweli kwa uliyowafanyia wenzio kwa tamaa ya urais na wewe wakufanyie ili hujue machungu ya kufanyia wenzio mabaya,
 
lowasa kupitia rafiki yake apso zipo siri za ndani kuwa nyie ndo mliandaa mpago wa kuwapa sumu wafuatao,

1, mwandosya ,lengo kuondoa list aliyoiacha nyerere baada ya kuona utachelewa upata urais na umri wako unaenda,
2, mwakyembe ,kwa ajiri ya richmond
3, magula baada ya kuwepo mpango wa kukuwekea ngumu kupita ndani ya ccm
4, kipindi cha mkapa baada ya magufuli kukuta umejenga mahotel kwenye ifadhi ya bahali na kusema ya bomolewe wewe na marafiki zako mkaanda mpango wa kumpa sumu na baada ya siri kufichuliwa mkapa akampa ulinzi,

mimi nasema kweli mungu kama yupo na ni mungu wa kweli kwa uliyowafanyia wenzio kwa tamaa ya urais na wewe wakufanyie ili hujue machungu ya kufanyia wenzio mabaya,

Ila nasikia naye apson amemtosa bwana mkubwa. Na atakoma na uraisi hapti
 
Lowassa kupitia rafiki yake Apson zipo siri za ndani kuwa nyie ndio mliandaa mpago wa kuwapa sumu wafuatao,

1, mwandosya ,lengo kuondoa list aliyoiacha nyerere baada ya kuona utachelewa upata urais na umri wako unaenda,
2, mwakyembe ,kwa ajiri ya richmond
3, magula baada ya kuwepo mpango wa kukuwekea ngumu kupita ndani ya ccm
4, kipindi cha mkapa baada ya magufuli kukuta umejenga mahotel kwenye ifadhi ya bahali na kusema ya bomolewe wewe na marafiki zako mkaanda mpango wa kumpa sumu na baada ya siri kufichuliwa mkapa akampa ulinzi,

mimi nasema kweli mungu kama yupo na ni mungu wa kweli kwa uliyowafanyia wenzio kwa tamaa ya urais na wewe wakufanyie ili hujue machungu ya kufanyia wenzio mabaya,
Mungu yupo, wakati anapitisha hukumu yake kwa EL asikusahau na wewe kwa matusi yooooote unayomtukana EL na UKAWA, pia awalipe na wengine woooooooote walio ccm wanagawa rushwa hata sasa kwenye kura za maoni na wanaochapa wenzao bakora na ngumi!! Mungu yupo, asisahau ESCROW, mikataba ya gesi, miswada ya fasta fasta, kuuziana na kumilikisha ndugu na nyumba ndogo nyumba za serikali nk.............. Mungu yupo na ahukumu kote kote, akianzia na wewe.
 
Ila nishakuwa na mashaka sana na watu wenye nyota ya kupendwa. Performance yao huwa ni poor! Refer Mzee wa maisha bora kwa kila Mtanzania, alipendwa sana hmn huyu mtu lkn leo hii Mmmmh.
 
Mimi ni ccm damu damu lakini kula yangu nampa lowassa. Kwa sasa sisi wana ccm lazima tukili makosa yetu kuliko kuja na hoja zisizokuwa na maana. Kwani hatujengi chama tuna bomoa. Kiufupi kwataarifa kama hizi tunajiaibisha. Lazima tukubali kuwa lowassa ndokiongozi mkuu. Jana nilimuona hadi aliyekuwa bodyguard wa nyerere akiwa na lowassa kipindi anachukua fomu. My take we need to reorganize our self we us ccm
 
lowassa kupitia rafiki yake apson zipo siri za ndani kuwa nyie ndio mliandaa mpago wa kuwapa sumu wafuatao,

1, mwandosya ,lengo kuondoa list aliyoiacha nyerere baada ya kuona utachelewa upata urais na umri wako unaenda,
2, mwakyembe ,kwa ajiri ya richmond
3, magula baada ya kuwepo mpango wa kukuwekea ngumu kupita ndani ya ccm
4, kipindi cha mkapa baada ya magufuli kukuta umejenga mahotel kwenye ifadhi ya bahali na kusema ya bomolewe wewe na marafiki zako mkaanda mpango wa kumpa sumu na baada ya siri kufichuliwa mkapa akampa ulinzi,

mimi nasema kweli mungu kama yupo na ni mungu wa kweli kwa uliyowafanyia wenzio kwa tamaa ya urais na wewe wakufanyie ili hujue machungu ya kufanyia wenzio mabaya,

kidumu chama cha mapinduzi.
 
Lowassa kupitia rafiki yake Apson zipo siri za ndani kuwa nyie ndio mliandaa mpago wa kuwapa sumu wafuatao,

1, mwandosya ,lengo kuondoa list aliyoiacha nyerere baada ya kuona utachelewa upata urais na umri wako unaenda,
2, mwakyembe ,kwa ajiri ya richmond
3, magula baada ya kuwepo mpango wa kukuwekea ngumu kupita ndani ya ccm
4, kipindi cha mkapa baada ya magufuli kukuta umejenga mahotel kwenye ifadhi ya bahali na kusema ya bomolewe wewe na marafiki zako mkaanda mpango wa kumpa sumu na baada ya siri kufichuliwa mkapa akampa ulinzi,

mimi nasema kweli mungu kama yupo na ni mungu wa kweli kwa uliyowafanyia wenzio kwa tamaa ya urais na wewe wakufanyie ili hujue machungu ya kufanyia wenzio mabaya,

Acha kuropokaropoka, kama una ushahidi nenda mahakamani. Huna shut up and keep quiet! Unaongea 'nonsense' kabisa.
 
Lowassa kupitia rafiki yake Apson zipo siri za ndani kuwa nyie ndio mliandaa mpago wa kuwapa sumu wafuatao,

1, mwandosya ,lengo kuondoa list aliyoiacha nyerere baada ya kuona utachelewa upata urais na umri wako unaenda,
2, mwakyembe ,kwa ajiri ya richmond
3, magula baada ya kuwepo mpango wa kukuwekea ngumu kupita ndani ya ccm
4, kipindi cha mkapa baada ya magufuli kukuta umejenga mahotel kwenye ifadhi ya bahali na kusema ya bomolewe wewe na marafiki zako mkaanda mpango wa kumpa sumu na baada ya siri kufichuliwa mkapa akampa ulinzi,

mimi nasema kweli mungu kama yupo na ni mungu wa kweli kwa uliyowafanyia wenzio kwa tamaa ya urais na wewe wakufanyie ili hujue machungu ya kufanyia wenzio mabaya,

Kakate Nyanya Na Mashangingi Wenzako, Ushahidi Unao? Halafu Unajua Maandiko, USIHUKUMU ILI NAWEWE USIJE KUHUKUMIWA.
 
Ngoja tusubirie tarehe 25 october tutaona mshindi nani kati ya lowasa na Magufuli.
 
Lowassa kupitia rafiki yake Apson zipo siri za ndani kuwa nyie ndio mliandaa mpago wa kuwapa sumu wafuatao,

1, mwandosya ,lengo kuondoa list aliyoiacha nyerere baada ya kuona utachelewa upata urais na umri wako unaenda,
2, mwakyembe ,kwa ajiri ya richmond
3, magula baada ya kuwepo mpango wa kukuwekea ngumu kupita ndani ya ccm
4, kipindi cha mkapa baada ya magufuli kukuta umejenga mahotel kwenye ifadhi ya bahali na kusema ya bomolewe wewe na marafiki zako mkaanda mpango wa kumpa sumu na baada ya siri kufichuliwa mkapa akampa ulinzi,

mimi nasema kweli mungu kama yupo na ni mungu wa kweli kwa uliyowafanyia wenzio kwa tamaa ya urais na wewe wakufanyie ili hujue machungu ya kufanyia wenzio mabaya,

Sasa kama unaushahidi kamfungulie kesi
 
Hapa ccm washaharibu kila kitu lowassa wakati yupo ccm hawakusema kuwa alikuwa fisadi amehamia cdm wananza kumchafua kweli cku ya kufa nyani miti yote huteleza ndio ccm october mwaka huu.
 
Back
Top Bottom