Lowassa una tatizo

Hatujachelewa chadema kupitia ukawa naomba mrudisheni Slaa tuondokane na aibu hii jamani lol.... Lowassa apumzike na aendelee kuwa mwamachama na mshauri wa mambo ya siasa ila cijui kama sheria za uchahuzi zonakunali

Bora ubaki kuwa msomaji kuliko huu ujinga ulioandika.
Mungu kailaani mikono na macho yako yakashindwa kuona kutokana na uchonganishi na umbea wako.
 
Wewe nawe mbinu gani, gonjwa hilo limeshindwa hata kuongea?

Hivi katika wazima wewe umo? Sema ni vigumu kwa nyani kuliona kundule! Comment zako zinaonyesha wewe si mzima hata kidogo! Mbaya zaidi ni kwamba haujui kama unaumwa! Mtu mzima hawezi kumbeza mwenzake kwa kigezo cha ugonjwa! Mtu anayembeza mgonjwa ni mgonjwa wa akili!
Tatizo ni kwamba hakuna mgonjwa wa akili ambaye huwa anatambua kuwa ni mgonjwa! Wito wangu kwa wanaomfahamu faizaFoxy ni kuwa wamfunge kamba na kumwahisha milembe! Namhurumia!
 
Wewe katabazi happynes ni mjinga na mpumbavu!? Kabla hujamuongelea lowasa ongelea ya kikwete kwanza na ccm na yako pia... Umeongea pumba sana, natamani nikuumbue but ctaki ujue mi nani ngja nikae kimya tu but nakuja kwnye blog yako kukujibu moja baada ya jingne afu uone upumbafu wako ulipo.
 
Kwa vile mwandishi anatokea Malaysia, sioni ajabu. Hii nchi kwa kuzalisha malaya haijambo.
Usifikiri kila mtu anaakili ya kukopesha kama nyie. Wenye akili teyari wanafahamu kuwa yule jamaa wa UKAWA ni mtupu kabisa.
 
hapo magufuli yupo vizuri, amegusa kila kona. Hiyo ya lowasa ni usanii mtupu. Kikwete alishasema Lowasa hafananii kuwa raisi na wala hauwezi uraisi na ana makandomakando mengi ya kashfa za rushwa kwa hiyo CCM haihiitaji mtu kama lowasa. Malo*fa wa ukawa mtajibeba mwaka huu



 
Reactions: nao
Watu wapo jangwani toka asubuhi wanamsubiri halafu mzee anasema wakaisome hotuba yake kwenye website nyie mnasema ni mbinu.


Mzee akapumzike tu.
Pale hata LOWASSA angepunga mkono tu asalimie, kisha arudi kukaa, hakuna tatizo, sisi tumeshamuelewa!

Mimi nilisafiri kutoka Arusha, Mbona silalamiki? Hao watu unaowasemea ni wapi hao?

Lowassa ndio chaguo la wengi!!!
 
Usifikiri kila mtu anaakili ya kukopesha kama nyie. Wenye akili teyari wanafahamu kuwa yule jamaa wa UKAWA ni mtupu kabisa.
Sasa kama ni mtupu, si ndio ufurahi kuwa MAGUFULI wako anapita kiulaini? Mbona unalialia tena?
 
Pale hata LOWASSA angepunga mkono tu asalimie, kisha arudi kukaa, hakuna tatizo, sisi tumeshamuelewa!

Mimi nilisafiri kutoka Arusha, Mbona silalamiki? Hao watu unaowasemea ni wapi hao?

Lowassa ndio chaguo la wengi!!!

wewe huwezi lalamika sababu mlo wako unategemea uwepo wa lowasa.
 
Hahahaha,humu ndani kuna malofa wa kutosha, iko siku mgombea atajiny*ea jukwaani, mtamsifia kuwa hana muda wa kwenda maliwatoni.

Kuipenda kuwe na kiasi,akikosea muwe wa kwanza kushauri na kuelekeza kasoro zilipo.mnamfanya MKAPA aonekane sahihi kutoa kauli zake za maudhi sasa.
 
Sina tatizo na Lowasa ila swali langu moja tu kama kweli alitaka kutukomboa nje ya chama cha ccm nadhani angejiengua mapema kwenye chama ambacho leo hii anaseama hakina sera je angepita na yeye sera zake angeshindwa kuzitumia maana ndio yuko kwenye chama hicho sina chama chochote kura yangu nitampa mgombea atakaeniridhisha mtanzania lazima ufikiri mara mbili kabla ya kutoa kura yako
 


Serikal kupitia waziri wa Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta ameomba mdahalo na aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowassa ili wabishane kwa hoja juu ya UHUSIKA wa sakata la RICHMOND.
sijawah kuona popote duniani kumuomba mhalifu anayetuhumiwa mdahalo ili mbivu na mbichi zijulikane, kama waziri SITTA anajua lowasa ni mwizi jukwaa la mdahalo sio suluhu, suluhu ni kumkamata na kumpeleka MAHAKAMANI! kwani kupelekwa mahakaman mpk uwe mwizi wa kuku tu? mbona hatujawah kusikia waziri akiomba mdahalo na mwizi wa simu?
kwanini wanaleta siasa kwenye mambo nyeti kwa TAIFA??
mh. waziri ni mwanasheria kitaaluma, na kwa hili ni kuidhalilisha taaluma ya sheria, MHALIFU huwa anakamatwa na kupelekwa MAHAKAMANI ili haki itendeke.
Tumechoka kuwa nchi ya maajabu, kwasababu ushahidi upo tunaiomba serikali mtuhumiwa Huyo afikishwe court na Sio kutuletea sanaa watanzania.
 

CCM imetoa ilani yake inayobainisha vipaumbele vinne katika kuondoa umasikini, tatizo la ajira, ulinzi na usalama na rushwa kwa kuanzisha Mahakama maalumu. Hayo yote uliyoorodhesha ni mchanganuo wake. Acha kupotosha
 
Huyo JK hivyo vikao vya Afika na Umoja wa Mataifa anavyohutubia huko vinatusaidia nini sisi Watanzania? Umoja wa Mataifa tuna balozi wetu kule atatuwakilisha,,Sio lazima rais aende huko

Haya LAKI si pesa ni mtazamo wako mkuu, atabaki ikulu tuu, na si lazima waje pia. Nimekuelewa vizuri mtaalam wa international relations
 
Last edited by a moderator:

Wewe uliyeleta hii post hapa ndio una MATATIZO makubwa akili za kuambiwa changanya na zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…