laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,757
Miss you shem, jana umeona mambo yetu lakini?
Tunawasubiri huko Songea.
Nimeona mamno yenu shem,, tunamsubiri kwa hamu rais wetu Songea, tumejiandaa vya kutosha
Miss you shem, jana umeona mambo yetu lakini?
Tunawasubiri huko Songea.
Nimeona mamno yenu shem,, tunamsubiri kwa hamu rais wetu Songea, tumejiandaa vya kutosha
Mkuu wale mashekhe wa uamsho nje lowassa akiingia madarakaniNampendaga sana huyu dada HAPPINESS KATABAZI,huwa ni mkweli na jasiri haswa,hivi bado yuko kwenye gazeti la mbowe TANZANIA DAIMA?
vipi wale wabunge mliosema watahamia huko tayar au bado???
Mbinu za Kampeni za LOWASSA zinazidi kuipasua kichwa CCM! Hawamuwezi!!!!
We malaya kweli hujaisikia hotuba baadae ilisomwa itv
Habarini wadau,
Yaani nawashangaa sana wana CCM wenzangu,mbona kama tunamfuatilia sana Lowassa na kuipa promo sana UKAWA? kwasababu hata tukiiongelea in a negative side ni kama kuwaogopa flan hivi na wanazidi kupata popularity.
Kwanini tusitumie muda mwingi kuunga mkono sera ya Mgombea wetu Mh. John Pombe Magufuli na hata kumsupport? Tuwaachie UKAWA na mambo yao.
Ni mtazamo tu.
Kidumu chama cha mapinduzi.
Wewe nawe mbinu gani, gonjwa hilo limeshindwa hata kuongea?
Habarini wadau,
Yaani nawashangaa sana wana CCM wenzangu,mbona kama tunamfuatilia sana Lowassa na kuipa promo sana UKAWA? kwasababu hata tukiiongelea in a negative side ni kama kuwaogopa flan hivi na wanazidi kupata popularity.
Kwanini tusitumie muda mwingi kuunga mkono sera ya Mgombea wetu Mh. John Pombe Magufuli na hata kumsupport? Tuwaachie UKAWA na mambo yao.
Ni mtazamo tu.
Kidumu chama cha mapinduzi.
Mussa Allan nafikiti mmewakatisha tamaa mashabiki wenu waliokuja hapo kisanjani with high hopes za kumsikiliza mgombea na wakatoka bila kukipata walichokitarajia! Angalau kama walitarajia kufanya hivyo badi angeanza siku moja kabla kuisoma hotuba yake kwenye TV na pale uwanjani ingekuwa ni sarakasi zilizofanyika isingekuwa taabu. Sina hakika kwamba mkiitisha tena mkutano mtawapata watu kama waliokuwepo. Ukiangalia mood ya watu baada ya kauli ya Lowassa kuweka hotuba mtandaoni ilikuwa disappointment na walianza kuondoka. Tafuteni njia ya kurekebisha harakaMbinu za Kampeni za LOWASSA zinazidi kuipasua kichwa CCM! Hawamuwezi!!!!
Tatizo la elimu yakufuta ujinga ndo hiliHatuchagui rais wa Umoja wa Mataifa, tunachagua rais wa tanzania, huyu bibi hana hoja