Lowassa una tatizo

Huyu dada ni mshabiki wa ccm! Lakin tu mpe ukweli kwamba ccm hawana lolote, magufuli huyuhuyu anayeahidi vitu vingi amesuburii ila ya ccm pale jangwani, sasa tuulize kama anayoahidi magufuli yamo ndani ya ilan ya ccm kwanini kwa miaka yote ilikuwa haitekelezwi kwa uhai wa ccm? Ccm na wazuri kwa ilan ya kuhadaa wananchi siyo ya utekelezaji.

Wananchi tuamke tuachane na ahadi za magufuli utafikiri hakutoka ccm wakat kwa takriban 20yrs yumo ndani ya baraza la mawaziri wa ccm
 
Mbinu za UKAWA ziko very scientific,hawa tabiriki,unge tulia na kuangalia ITV baada ya habari nadhani usinge kuja na hizi tenzi zako....!!!

Kama mbinu ni kuwapa nafasi watu wa vijiweni wapayuke na kumnyima muda mhusika ili msingizie polisi itabidi muoongoze tz ya kufikirika. Na hata hizo dk saba alizotumia vipaumbele ni kumtoa babu seya aliyedhalilisha watoto wa maskini! Hiyo ikulu wataiona tu na uzuri kuna barabara hawazuiwi kuitumia ili wauone mjengo...ninyi ni KINA YUDA wasaliti wa wanyonge
 

Mkuu barazza lengurumo umemaliza kila kitu, ubarikiwe sana.

Nihitimishe kwa kusema KWA WANAOMFAHAMU LOWASA, Huyu bwana ni mtu wa kazi/vitendo sio maneno
 

Usaliti alianza baba yako na mama yako kwa kukuzaa wewe gamba na kuichagua ccm tangu 95-2010.
wame saliti maisha yao na ya watanzaia wote kwa ujumla.

samahani kama nimekukwaza!
 
Faiza acha kuweweseka. Muda uliisha wakaheshimu sheria msipate kisingizio. Magufuli mzima? Jk mzima? Toa pumba zako hapa

Kwa hiyo mlikuwa na muda wa kina hoza mkakosa wa mgombea!! Hizi ni sababu feki na zinaonyesha watu walivyo wababaishaji. Jk kamaliza miaka kumi na Magufuli tunamuona na kumsikia akishusha mambo atakayo yafanya kwa watanzania huo ugonjwa unaujua wewe. Ila kilichodhahiri mgombea wenu hawezi kusafiri hata nusu ya sehemu alizokwisha pita Magufuli. Hatuhitaji mtu anayesoma kama kasuku hawezi hata kufafanua kitu.
 
Heri kuongozwa na robot kuliko kuendelea kuongozwa na CCM.
 

Ulitaka uwe wapi? inawezekana hukusema kuwa unahitaji miaka hii54 wakufikishe wapi, na ni wajinga tu ambao wanaweza kusema mambo ya namna hii, na ndo maana Mzee Mkapa alitumia neno kali kidogo"wapumbavu na marofa" ebu uliza akili yako ww binafsi hii nchi ilikuwaje mwaka 61 na sasa iko vipi? huitaji msaada wa mawazo ya mtu, ebu jiulize kama na ww una umri huo kwamba Baba yako kafanya nini kwa umri huo?

Ebu tuache mambo ya kukaririshwa ujinga na cc tunafanya kuwa ndo silaha yetu, hii nchi inasumbuliwa na rushwa na ufisadi, huu ndo ugonjwa mkubwa wa nchi hii, wala mtu asikudanganye, tunahitaji kiongozi wa kusimamia hayo, na mambo yatasonga mbele, mfano jana nimesikia wanaweka kihotuba cha mzee Nyerere kwenye mkutano wa UKAWA, wanafanya makosa makubwa sana au ni kwa makusudi au ni ujinga tu, kwani watanzania wanafanywa kama wote hawana akili, kile kipande kinasena hivi-watanzania wamechoshwa na rushwa, wanataka kiongozi wa kusimamia hayo, wanataka mabadiliko wakikisa ccm watatafuta nje ya ccm, kakini kiongozi bora atatoka ccm. hayo ndo maneno ya Nyerere. kama kweli wana nia njema huo ndo ujumbe halisi, na hili tatizo lipo hadi baadhi ya TV zetu zinafanya ujinga huo huo wa upotoshaji wa maneno ya Mwl.Nyerere. Ila naamini kiongozi mwema atapatikana hiyo Oktoba 25.
 
Uliangalia ITV BAADA YA TAARIFA YA HABARI?
 


Magufuli anauwezo wa kuongea mda mrefu ndo mana anatoa mambo yote hayo...Lowasa Ni mgonjwa wa kupooza sawa na kiwete Tu kuongea huku amesimama kwa muda mrefu hawezi.Ila hayo matano aliyoyataja Lowassa ukiyanyambua unapata idadi sawa na Mh.Magufuli.Au mwenzangu hukuwai andika essay????.
 
Vijana wa ccm ni mjuha siku zote hawajengi hoja kwa kutumia akili bali wana jenga hoja kwa hisia za kimalaya kama huyu katabazi!
Sijuwi kama ile tabia yko kama ulisha acha tulia usiwe unafikiria kwa kutumia makalio yako bado unatumia ile number yako 0713 au ulisha acha?
 
Lowassa aliingia UKAWA ili kujipunguzia stress likini nafsi yake akiwa jukwaani inamsuta kwa namna anavyohujumu Upinzani. na kama washauri wake ndio akina Gwajima basi ukawa itakufa baada ya uchaguzi
 
Tumeshapewa ahadi nyiiingi huko miaka ya nyuma na hazijatekelezeka sasa ni wakati wa kuwapisha wapinzani wafanye yao hata bila kutupa ahadi tutawapa tu kura
 
Monges,
Nafikiri hujaelewa hapa hata neno langu moja, nakuomba soma mstari mmoja mpaka mstari wa mwisho, na kama utakuwa hujanielewa zaidi nitakufahamisha zaidi.
 

Umelenga penyewe Kiongozi.
 
Mwaka 2005 JK akiwa youthful by then alidondoka kama mgonjwa wa kifafa pale pale Jangwani wakati wa uzinduzi wa kampeni!

Mdogo wangu Happiness Katabazi unanifanya nione aibu kwa makala haya unayolalama kwamba Lowasa hakutongoza / hakututongoza (au hakukutongoza).

Umeahidiwa nini na Magufuli? Kutengenezewa Wilaya mpya kwetu?

Kwa taarifa yako mdogo wangu, watanzania wa sasa wameichoka CCM na wako radhi kumpa kura mtu atakaye gombea nje ya chama hicho.
 
Hatujachelewa chadema kupitia ukawa naomba mrudisheni Slaa tuondokane na aibu hii jamani lol.... Lowassa apumzike na aendelee kuwa mwamachama na mshauri wa mambo ya siasa ila cijui kama sheria za uchahuzi zonakunali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…