Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

Siku zote mwanadamu huona ya mwilini ni Mungu pekee huutazama moyo. Mmemwita kila aina ya majina, mmemtukana kila aina ya matusi lakini baba wa watu hakujibu kitu chochote Mara ooh fisadi kikowapi mmnaumbuka mmoja baada ya mwingine. SASA MUNGU AMEAMUA KUWEKA WAZI EDWARD NDIO MLINZI WA AMANI. HONGERA SANA MUNGU AKUBARIKI
 
Wangejua uharifu wanaowafanyia watanzania wanavyoujua kuliko huu wa kusingizia kwa EL
 
Yesu alipoingia hekaluni akakuta watu wanafanya biashara alipindua meza zao na kuwafukuza. Ndipo alipotangaza kuwa nyumba ya baba yangu itakuwa nyumba ya sala na wala sio pango la wanyanganyi. Tafakari Chukua hatua stahiki!!!!

Queen Esther

Nimekuwa nikufuatilia sana comment zako. Sidhani kama wewe umeokoka kweli, sidhani kama unamjua YESU wa kalvari, walio na Roho wa MUNGU hawaubishi mwili wa Kristo, walio na Roho wa MUNGU hawatukani, watukanaji wote sehemu yao ni ziwa la moto, walio na Roho wa MUNGU wanaombewa watumishi wa MUNGU na kwa kuwa wale ni wanadamu tu sio kuwatukana na kuwaabisha, walio wa Kristo hawako hivyo, pole!!!!, walio wa Kristo ni wanyenyekevu na wapole, walio wa Kristo hawasimangi mwili wa Kristo, wanaoenda mbinguni wamefanywa upya nia zao na wanayatufuta yalio juu, wanaoenda mbinguni maneno yao yamejaa munyu, na hunena maneno ya kujenga, wanaoenda mbinguni hawahukumu wengine maana wanajua wameokolewa kwa neema tu. Wewe hujampta YESU wa Kalvari. Ingia kwenye toba ya kweli na ugeuke kama unataka kwenda mbinguni.
 
Back
Top Bottom