Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM


Kweli wewe ni lumumba buku 7 fc,NADHANJ?ndio lugha ya magamba?
 

Aione uncleben_
 
Last edited by a moderator:
Nani aliwahi kusema Lowassa ni mleta vurugu!? Aache kupindisha mambo. CCM na Watanzania kwa ujumla wetu tunasema Lowassa ni fisadi...Hilo la vurugu anajizushia yeye tu.

Hadi mtasema yoote ya mioyoni mwenu lkn lowasa ndiye rais kipenzi cha watanzania
 

Nice reasoning
 
Inategemea Na Taasisi Zenyewe! Isijekuwa Zinaongozwa Na Watu Jamii Ya Gwajima Ambao Hawajui Tofauti Kati Ya Imani Ya Mungu Na Mahaba Ya Kisiasa Na Kimaslahi
 
Mkuu huko nimeshatoka nimewaachia Nyie werevu muendelee kuchanganua hoja ,Acha nihangaike na malofa na wapumbavu wenzangu

Umemjibu vyema.Hata vurugu na Mauaji ya Alphonce Mawazo yamefanywa na vijana wa CCM kwa jina LA Greenguard.Na hata Leo Mwenyekiti wa Kitongoji Mlangali anashikiliwa kwa tuhuma za kujeruhi na kupoteza kwa wanachama wawili wa upinzani, Na nani Ana vurugu???Mara nyingi ukinyoosha kidole basi vile vingi vinakuonyesha mwenyewe.

Hongera kwa kumpa ukweli wake.Aache Malofa na wapumbavu tuendelee na maisha yetu kuna siku watajutia ubaguzi wanaoufanya
 

Mzee hana jipya saiv
Amebaki kuwa mtu wa kusubiri misiba,
Vituzo ambavyo vilitakiwa kugombewa na wakina rais wa wasafi

Utashangaa amepewa hadi tuzo ya kilimanjaro music award maana n msanii mzuri tu

poor kibaraka lowasa
Endelea kupewa vtuzo na mabwana wa magharibi
 

Mkuu sikua na namna nyingine ya Kumwelewesha nikaona mimi mpumbavu kushindana na mwerevu haitoleta maana ila labda akirudi kwenye senses zake ataelewa kwanini wameona ni vyema Lowasa kupewa tuzo hizo za amani ,ni logic raisi tu eti hoja yake kwanini wasipewe tuzo wanao suluhisha Migogoro kwenye nchi zenye machafuko ila apewe Lowasa ambaye yupo kwenye nchi isiyo na machafuko ,hivi ni mpaka tusibiri nchi iingie kwenye machafuko ndio tutafute amani ??? Haoni kwamba ilikua busara kwa Lowasa kutong'ang'ania madaraka na kusababisha kuchafuka kwa amani ambayo ndio tunu moja wapo Mungu aliotujalia watanzania
 
Kwa hali ya kawaida ya kihistoria kwa Lowasa kununua nunua watu wa kawaida, viongozi wa kisiasa na wakiroho si ajabu kabisa kutoa posa na baadae kulipa mahari kwako viongozi wa taasisi hizo. Lowasa tunamjua hanauwezo wa kujinadi kwa kutumia Sera tangu mwanzo yeye alianza miaka mingi akijidai baba wa misaada kwa makanisa na Miskiti mbalimbali Tanzania. Tumeliona hilo!!!! Tafta mbinu nyingine siyo Tuzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…