MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,927
- 6,850
Mfano mzuri ni hapa kinondoni muda huu!! mabasi ya Uda yapo lukuki yanashusha watu kwa kwenda mbele!! Kisena amechafukwa anakipigania chama kilichompa ulaji bwerere!!
Hili halina ubishi, ndio hali halisi. Magufuli anafanya haya hapa: 1. Kubeba wananchi kwenye malori 2. Wasanii kwenye mikutano yake. Yote hayo huwavutia wananchi!
Lowassa hafanyi hata mojawapo hapo, lakini mahaba anayopewa ni nouma. Pamoja na Magufuli kufanya hayo bado ameendelea kusubiri kwa Lowassa!
Dakika za lala salama Lowassa ni 81% Magufuli 17% Others 2% !
Tukutane Jumapili!