Lowassa, Sumaye waibukia bungeni

Lowassa, Sumaye waibukia bungeni

PRODA LTD

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
1,005
Reaction score
1,334
LOWASSA, SUMAYE WAIBUKIA BUNGENI

Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ambapo kimeanza kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.
FB_IMG_1478000529454.jpg
FB_IMG_1478000532711.jpg
FB_IMG_1478000535636.jpg
FB_IMG_1478000541456.jpg
FB_IMG_1478000538501.jpg
 
Swali je hapo wanalipwa kwa mahudhurio hayo au wanajitegemea
 
Yaani... daaah, jamaa Presidential material sanaaaaaaa, sanaaaaaa.... CCM yangu ilimfunda, kumlea, kumkuza, na kumpa hekima na busara kubwa sana huyu Lowassa...

Umetuacha CCM ila bado tunakupenda wengine.. Nasema toka moyoni, ukimcheki tu Mh. Lowassa unapata faraja, amani, furaha, na matumaini makubwa ya moyo, cheki hata hapo kila anayekutana nae anatabasamu toka moyoni, mcheki Capt. Mkuchika.. anafuraha sana, Mh. Lowassa ana karama za kipekee kabisa we have to admit..!! Mungu akulinde always..!!

Mh. Lowassa utukumbuke japo kwa barua au sms basi hata sema marafiki zangu mlio CCM nawasalimia, inatosha... milima haikutani binadamu hukutana..
 
Wana haki ya kufuatilia kinachoendelea bungeni kama raia wa Tanzania

Nitamkumbuka Lowasa kwa neno moja tu (kunyamaza kimya)ni silaha aliyoitumia kweli imemfanikisha.
Mi ntamkumbuka kwa ile speech yake kali ya ....WATANZANIA WANAJUA NA DUNIA INAJUA.
 
Wana haki ya kufuatilia kinachoendelea bungeni kama raia wa Tanzania

Nitamkumbuka Lowasa kwa neno moja tu (kunyamaza kimya)ni silaha aliyoitumia kweli imemfanikisha.

Wanawadanganyeni hao, hamna kitu hapo.

Umeona Lowasa anavyofurahi amefika nyumbani anakaribishwa na Kapteni mstaafu George Mkuchika?

Halafu, ukiwaangalia hawajavalia kadi maalum za utambulisho maana wao ni wageni maalum.
 
Uongozi ni dhamana, ukiuchezea utaukumbuka milele hata ukikaa nje bado utatamani urudi kwa namna tofauti, hata hivyo inatupasa kusahau yaliyopita kwa tuliochezea shilingi chooni. maana tukiendelea kukumbuka tutaumiza mioyo yetu bure!!!
 
Swali je hapo wanalipwa kwa mahudhurio hayo au wanajitegemea
Wanalipwa na Chadema si unaona walitunga kuwa kamati kuu itakuwa Dodoma kukutana na wabunge wa Chadema? Lengo ilikuwa kuwatengenezea ulaji na wao watoke wakapunge upepo wa viyoyozi bungeni Dodoma lengo kuwasaidia Ku Steam out frustration zao kidogo.NIlichojifunza ni kuwa MTU aliyekuwa akikaa viti vya waheshimiwa Leo anakaa viti vya wageni ambavyo hata watoto wa shule hukalia wakienda kutembelea binge nawahurumia sumaye na lowasa wanadhalilisha hadhi ya uwaziri mkuu mstaafu.
 
Back
Top Bottom