TangaNyika_TZ
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 239
- 52
Wewe wacha porojo, tulikotoka ilikuwa asilimia 60% na yeye Lowassa akiwemo kwenye serikali. Leo Kikwete kaishusha mpaka asilimia 8 tu, na ukitazama rikodi ya mwaka jana na juzi zaidi ya pesa nusu wahisani hawajatowa, ina maana hiyo nane inaweza kuwa 4% tu au NIL.
Isitoshe, mwakani kuna kila uwezekano 100% zikawa ni pesa zetu wenyewe, hilo limeshasemwa tena bungeni. Uko wapi wewe? Umelala?
Hapo mamvi kama kawa, kawadanganya wapumbavu na malofa.
Bingwa wa kutaja,bigwa wa jutokujua ilani,na ziro wa kufafanua
Ishu sio kuwa warz mkuu ishu nine alipopewa amefanya,
Pili na kama unapinga kuwa magufuli sio mkali wewe ni mtanzania wa kwanza kukutana nae ambaye anasema magufuli sio mkali,
Bajeti hewa ungeyaona maendeleo?
kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa kwenda Mwanza tu kutokea Dar mpaka upite Kenya, leo yapo hayo na aliyesimamia utekelezaji ni huyo huyo Magufuli.
nenda kaitazame Muhimbili leo, kabla ya ujio wa Kikwete mlikuwa mkiumwa moyo kama huna fedha unakufilia mbali, leo unatibiwa Muhimbili, jengo jipya, vifaa vipya, wataalaam wapya na bado shughuli inaendelea, na magufuli anasema ataendeleza na kuhakikisha kila mkoa una hospitali ya rufaa, kila wilaya inaunganishwa kwa lami, kila mwanafunzi kusoma bure, kila kia kupatiwa ajira kwa kuongeza w=viwanda.
Lowassa kasema atafanya nini? Zaidi ya porojo za dakika mbili tatu anazoongea?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Bingwa wa kutaja,bigwa wa jutokujua ilani,na ziro wa kufafanua
Kwa rasilimal tulizonazo na kwa mda ambao Tulpata uhuru mwaka huu haikutakiwa tuwe tunaongelea vitu ambavyo ni Basic kabisa kama barabara,umeme,maji,nk. Miaka hii taifa lilitakiwa liwe linalenga kwenye Technologial ya mawasiliano na Usafirishaj wa kiwango cha kmataifa kama Air tz kuwa na ndege znazosafr dunia. Kuna kpnd hl shirika llkua na ndege moja inayoruka na ilkua mbovu lakini shirika lilikua na wafanyakaz 201

Mapovu na msongo wa itikadi zilezile
chakavu, kwa watu walewale, kwisha habari fisiem.
Muda uliopata Uhuru Tanzania ilitengwa na dunia kwa siasa mbovu za Nyerere. Kumbuka hilo.
Mabadiliko ya kweli na Tanzania imeanza kufunguka na kuondokana na siasa ya ujamaa wazi wazi katika ujio wa Kikwete tu - Kumbuka na hilo pia.
mimi namshukuru Mungu nilisoma shule bora enzi za Mwalimu. Sasa ni kuulize wewe ulisoma zipi? Izi za kupanua goli au?
Ikumbukwe kwamba maendeleo tunayo yazungumza sio ya vitu. Bali maendeleo ya watu.
Na ndio maana nyerere alitengeneza mfumo mzuri sana wa elimu ya kujitegemea.
Kulikuwa na viwanda. Kilimo ilikuwa ni uti wa mgongo. Nchi ilikua na morali ya kimaendeleo tofauti na sasa.
Sawa maospitali ya mejengwa mabarabara ya mejengwa lakini jiulize swali.
Ni wangapi wa kiugua wanauwezo wa kujitibu?
Ni wangapi wanayatumia mabarabara ya magufuli kusafiri?
Ikiwa uchumi wa watanzania upo Icu? Reli ime uwawa viwanda vime uwawa. Kilimo imekua laana kwa wakulima.
Ivi unajua kwanini nyerere alipigania maendeleo ya watu na sio vitu?
Alikuwa na maana taifa litajengwa na watanzania wenyewe ikiwa watawezeshwa na serikali kwa kujengewa uwezo.
Ndio maana tulikua tunafanya kazi masaa 24 ili kujenga uchumi wa taifa na watu.
Ni malizie kwa kusema. Watanzania wanataka maendeleo ya watu na sio vitu, ikiwa serikali itawajengea uwezo watu wake.
Maendeleo watayaleta wenyewe bila kutegemea wa isani kwa kutembeza bakuli kwa wazungu. Africa itajengwa na waafrica wenyewe. Jambo ambalo chama cha mapinduzi kimeshindwa.
Aisee ni kweli, utawala wa Kikwete Ulikuwa mzuri sana. Uchumi umeimarika. Maisha ni bora kwa kila Mtanzania, Tsh imekuwa more stable, na pia anamaliza mda wake huku wananchi wengi wakitamani km angeendelea kutawala...
Chama cheke cha CCM pia anakiach kikiwa na uhakika wa ushindi kwa 80%:sly:
Naam wala haujakosea.
Nani mwengine aliyefanya zaidi yake?
Hahahaa dada FaizaFoxy nchi yetu kwa hii miaka 10 ni km vile haikuwa na Rais, kosa tulilofanya 2005/2010 litaigharimu nchi kwa kipindi kirefu sana, naamini kizazi kijacho kitakuja kutandika fimbo makaburi yetu kwa upumbavu wetu wa kumchagua mtu km Kikwete aongoze nchi!
Ni aibu hata kwa nchi za jirani!
Wewe ni hasidi.
Kikwete pekee vyuo vikuu zaidi ya 50.
Tulikuwa tukiend Mwanza tu kutokea Dar, lazima tuzungukie Kenya.
Leo unaenda na chai unakunywa ndani ya gari na unafika huna hata vumbi. Zamani mkisafiri mkishuka kuchuma dawa lazima mchekane, sura zimejaa vumbi watu mnaonana meno na macho tu.
Nnajuwa u mdogo sana na haujaishi ukiwa mtu mzima zaidi ya wakati huu wa Kikwete kwa hiyo huwezi kuyaelewa ya waliokuwa kabla yake. Sikushangai
Hizo ulizoziona bora wakati huo alizirithi tu na akaziua kabla hajafa. Kumbuka hilo.
Pia uliziona shule bora lakini hukupata elimu.
Ni Kikwete aliyeanza kuifufua elimu kwa kasi ya ajabu, Wakati wake tu shule za sekondari zaidi ya 4,000, vyuo vikuu zaidi ya 50.
Changanya wote wa kabla yake, hata robo ya hiyo rikodi hawafikishi - kumbuka hilo.
#HapaKaziTu
Aisee ni kweli, utawala wa Kikwete Ulikuwa mzuri sana. Uchumi umeimarika. Maisha ni bora kwa kila Mtanzania, Tsh imekuwa more stable, na pia anamaliza mda wake huku wananchi wengi wakitamani km angeendelea kutawala...
Chama cheke cha CCM pia anakiach kikiwa na uhakika wa ushindi kwa 80%:sly:
Unavyoflow na bi. Kidude vizuri nae anaona mko pamoja.
Yaani kama unamdanganya Mtoto mdogo nae anakubali tu