Lowassa: Sitategemea wahisani kuendesha serikali

Hatujalogwa aliyelogwa ni lowasa miaka 7 bubu bungeni,Leo hii eti anajipya kama sio mnafiki

kwa iyo lowassa ndio mtekelezaji na sio serikali? Dah. Vijana kama ninyi wa uvccm ni majanga kweli kweli.
 

Atategemea friends of Lowassa
 

Ishu sio kuwa warz mkuu ishu nine alipopewa amefanya,
Pili na kama unapinga kuwa magufuli sio mkali wewe ni mtanzania wa kwanza kukutana nae ambaye anasema magufuli sio mkali,
 
That's true kwani nchi kama kenya haina rasilimali kama tz lakini asilimia zaidi ya 80 ya bajeti yao ni mapato ya ndani wakati tz ni asilimia takribani 60 tu. But why? The simple answer is CCM!

kwamba the SIMPLE answer is CCM!!! usipende kuishi kwa majibu mepesi hivi mkuu
 
Usiseme nisome nimeona kwenye taarifa ya habari,hali mbaya uwezo wake ni mdogo sana huo ni ukweli mtupu

wenye uwezo mdogo. Wa kufikiri ndio hawata mwelewa Lowassa. Lakini sisi wenye uwezo mkubwa wa kufikiri tunamwelewa Mh Rais Lowassa.
 

Wewe wacha porojo, tulikotoka ilikuwa asilimia 60% na yeye Lowassa akiwemo kwenye serikali. Leo Kikwete kaishusha mpaka asilimia 8 tu, na ukitazama rikodi ya mwaka jana na juzi zaidi ya pesa nusu wahisani hawajatowa, ina maana hiyo nane inaweza kuwa 4% tu au NIL.

Isitoshe, mwakani kuna kila uwezekano 100% zikawa ni pesa zetu wenyewe, hilo limeshasemwa tena bungeni. Uko wapi wewe? Umelala?

Hapo mamvi kama kawa, kawadanganya wapumbavu na malofa.
 


Bajeti hewa ungeyaona maendeleo?

kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa kwenda Mwanza tu kutokea Dar mpaka upite Kenya, leo yapo hayo na aliyesimamia utekelezaji ni huyo huyo Magufuli.

nenda kaitazame Muhimbili leo, kabla ya ujio wa Kikwete mlikuwa mkiumwa moyo kama huna fedha unakufilia mbali, leo unatibiwa Muhimbili, jengo jipya, vifaa vipya, wataalaam wapya na bado shughuli inaendelea, na magufuli anasema ataendeleza na kuhakikisha kila mkoa una hospitali ya rufaa, kila wilaya inaunganishwa kwa lami, kila mwanafunzi kusoma bure, kila kia kupatiwa ajira kwa kuongeza w=viwanda.

Lowassa kasema atafanya nini? Zaidi ya porojo za dakika mbili tatu anazoongea?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
wapi? Wachina wanao maliza tembo wetu?

Ndugu hao raia wa jamhuri ile hawamalizi tembo tu bali kila kitu. Mbwa mtaani ni chakula kwao, mamba na viboko (cheki pale mto Wami baada ya Zaifu kuwaweka mradi wa maji) walipo hakuna hata mmoja.

Madini huko maporini na kwenye kingo za mito. Hawa jamaa wanatumaliza kwelikweli. Kwa vile wenyewe tunakinga meno tu tukiongozwa na Baba Kicheko basi tena wanaendelea kutumaliza mufilisi kabisa.
 
Kwa vipi hata kufafanua hawezi? Siasa za prof j

kwani huzijui rasilimali zulizopo Tanzania ndugu? au ndio kilakitu mpaka uhoji? anyway Tanzania kuna hivi vichache nikutajie
1Aridhi kubwa yenye rutuba
2Bahari km nyingi tu
3Madini(almasi/Tanzanite/
dhahabu/ chuma/makaa ya mawe n.k)
4haya gesi hiyo
5mifugo
6rasilimali watu
7utalii(mlima klm/ mbuga za wanyama/ visiwa vya znz/ sehemu kadha wakadha za vivutio)
8Amani pia ni rasilimali kwetu
9mito na maziwa
10Hali nzuri ya hewa na ki geographia sio kama Libya ktk majagwa.
Naamini kwa haya machache tungepata viongozi wenye maono na uzalendo tungefika mbali sana
 
Kwa vipi hata kufafanua hawezi? Siasa za prof j

kwani huzijui rasilimali zilizopo Tanzania ndugu? au ndio kilakitu mpaka uhoji? anyway Tanzania kuna hivi vichache nikutajie
1Aridhi kubwa yenye rutuba
2Bahari km nyingi tu
3Madini(almasi/Tanzanite/
dhahabu/ chuma/makaa ya mawe n.k)
4haya gesi hiyo
5mifugo
6rasilimali watu
7utalii(mlima klm/ mbuga za wanyama/ visiwa vya znz/ sehemu kadha wakadha za vivutio)
8Amani pia ni rasilimali kwetu
9mito na maziwa
10Hali nzuri ya hewa na ki geographia sio kama Libya ktk majagwa.
Naamini kwa haya machache tungepata viongozi wenye maono na uzalendo tungefika mbali sana ,
 

Hahaaaa hahaha
 

Haya kachukue buku 2 zako, umejitahidi kidogo
 

mimi namshukuru Mungu nilisoma shule bora enzi za Mwalimu. Sasa ni kuulize wewe ulisoma zipi? Izi za kupanua goli au?

Ikumbukwe kwamba maendeleo tunayo yazungumza sio ya vitu. Bali maendeleo ya watu.

Na ndio maana nyerere alitengeneza mfumo mzuri sana wa elimu ya kujitegemea.

Kulikuwa na viwanda. Kilimo ilikuwa ni uti wa mgongo. Nchi ilikua na morali ya kimaendeleo tofauti na sasa.

Sawa maospitali ya mejengwa mabarabara ya mejengwa lakini jiulize swali.

Ni wangapi wa kiugua wanauwezo wa kujitibu?

Ni wangapi wanayatumia mabarabara ya magufuli kusafiri?

Ikiwa uchumi wa watanzania upo Icu? Reli ime uwawa viwanda vime uwawa. Kilimo imekua laana kwa wakulima.

Ivi unajua kwanini nyerere alipigania maendeleo ya watu na sio vitu?

Alikuwa na maana taifa litajengwa na watanzania wenyewe ikiwa watawezeshwa na serikali kwa kujengewa uwezo.


Ndio maana tulikua tunafanya kazi masaa 24 ili kujenga uchumi wa taifa na watu.

Ni malizie kwa kusema. Watanzania wanataka maendeleo ya watu na sio vitu, ikiwa serikali itawajengea uwezo watu wake.

Maendeleo watayaleta wenyewe bila kutegemea wa isani kwa kutembeza bakuli kwa wazungu. Africa itajengwa na waafrica wenyewe. Jambo ambalo chama cha mapinduzi kimeshindwa.
 

Haya ndio mawazo tunayotaka kwa sasa, sio kila siku kuruka ulaya na kuomba hata msaada wa Net
 

mkuu hata punda kiongwe. Wamesha maliza ndugu. Dah hawa jamaa hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…