Lowassa sasa kwisha habari yake

Lowassa sasa kwisha habari yake

Nina wasiwasi na upstairs kwako Mr. Juu!
DSC_0771.JPG
 
Hukunisomesha, huwezi niuliza kwa kiingereza ili hali nimetoa maoni kwa kiswahili. Ila subiri wahusika watakukamata siku zako zikifika.
It is one of ukawanite syndrome called ukawaism.
 
Una uhakika gani kama alikuwa anataka kugawa fedha ili kununua watu.
Ww ndio inabidi utuelezee, na kwann hayo maneno umeyaandika kwenye picha?
Watu kama nyie ndio inabidi tuwatafute ili sheria ianze na nyie.
12027543_1026416060711996_3073046456672668995_n.jpg
 
Hela tunazokula ni za ccm, japo kura hatutawapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom