Lowassa, Rostam sasa kuwasha moto

KAZI YETU NI KUMGONGA NYOKA KICHANI AFIE MBALI,HATA KAMA AMEVUA GAMBA

piga kichwa ulia mbali
 
Hivyo vyombo unavyofikiri viko alert, yawezekana viko kwenye pay list yao.
Kama bwana mkubwa ndiyo walimuweka madarakani, watashindwaje kuviweka mfukoni hivyo vyombo vilivyoteuliwa na bwana mkubwa?
 
ahami mtu hapa.nchii hii ni ya watanzania wote pamoja na raslimali zake. Watanzania watabaki lakini ufisadi wa ccm lazima ukome kama nguvu zote. Watanzania wenye akili timamu hawaitaji ccm tena katika maisha yao

Kaka mabadilikosasa waaaaaaaalllah usiwe na was was mkuu, kwa sasa ccm kukoma ni lazima c option tena. Kimsingi hiki chama kimeshakufa kwani hakipo tena kwa wananchi, kimebaki kushikiliwa na dola na c umma. na hata huko kwenye dola ni few die hard pundits wamebakia nacho, wengine wengi wapo nacho kimwili tu ila kiroho wapo na Chama Cha Umma yaan CHADEMA. hIYO WALA C SIRI TENA, ni suala la muda tu......
 

JK angekuwa anakubaliana na nguvu ya umma wasingeweza lolote lakini JK sio muumini wwa falsafa ya nguvy ya umma sasa hao jamaa kwakweli uwezo, sababu, pesa nk wanavyo na hata nia wanayo... subiri uone huo mziki sijui kama hawa jamaa (Mkama na wenzake) wateweza kuucheza
 
Hao mapacha watatu mtandao wao ni mkubwa kwenye CCM na Serikali na nje ya hapo, kwahiyo JK inabidi awe makini nao kama anataka kuendelea kuwa Rais. CCM A inavyoendelea kumeguka hivi zile CCM B (CUF, TLP, NCCR-MAGEUZI etc) zitakuwa upande gani?
 
BANGE NA HAKA KAMVUA INAPANDA SANA
enjoy

nakuunga mkono mkuu, hizi ni bange za mchana kweupe! Kwani mpaka sasa ni yupi kati ya hao ametoswa! Nadhani hii mijamaa inayoshabikia kijani imelogwa manake haielewi chochote zaidi ya kufuata mkumbo tu
 


PACHAAAAAA JICHO LIMEIVAAAAAAAAAA KUDADEKI SIJUI AMEPIGA MAMBO YETU YALE HAHAHAAAAAAa
 
Usihofu mkuu, walishakiri kuucheza wa CDM kupita kwa huyu bwana mdogo mwenye uchu wa madaraka NNauye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…