Inafika sehemu nashindwa kuelewa. Mara ya kwanza nilijua kuwa ccm wanafanya makusudi wanayoyafanya kumbe kichwani 0000 ziro. Sasa mmemsafisha mtu vizuri na kwenye kamati ya bunge ni kiongozi wa kamati nyeti. Alafu sasa mnamzingua Mzee Lowassa eti mnampa siku 90 kwa nini hamkufanya zengwe kama kawaida yenu mapema. Kama mlivyomfanyia Samwel Sitta wa nguvu mkamuweka Bi. Kiroboto ambaye sasa hivi anachanganya madesa tu bungeni. Yaani hata kama anatuhumiwa si vyema mkamdhalilisha kiasi hiki. Kwanza umemtangaza kwamba yeye ni safi, Pili mmemkabidhi kamati nyeti ndani ya bunge, Tatu mmevunja sekretariet mkamwondoa, nne huyo Manape manauyee anawazalilisha live, sas ndo nashangaa. Kwa nini hamkuwaaambia wafanye kimya kimya mpaka muwafanye hivyo mbele ya umati. Naanza kukumbuka statement moja kwenye History kuwa 'You are planting the root of your own destruction" Chiligati alikiri kuwa CCM inaambiwa ufisadi, EPA , sijui nini lakini haina ushahidi, sasa ngoja ushahidi ukitolewa na hao mapacha watatu watakapoonesha nani alichota mkwanja wa Kagoda, n.k. Japo ni sherehe ila nimjuavyo mzee Lowassa sasa hivi yuko anasema "nyie sawa tuuuu" "mtaona tuuu eheeeeeeee" kama mtoto aliyenyimwa bajia na wenzake na siku akipata na yeye bajia atalipiza kisasi ile mbaya' ngoja tuone.
Matatizo ya ccm ni zaidi ya ufisadi wa lowassa, chenge, na rostam. CCM imeoza tangu mjumbe wa nyumba kumi, wale wanauza ardhi ya watu maskini. Mfumo mzima wa CCM ni ufisadi. hata wabunge wake wote walichaguliwa na wanaccm wenzao kwa kutoa rushwa. Kupambana na hao watatu tuu ni kiini macho tuu. Nashauri CCM ifutwa alafu wale waadilifu waunde chama kingine kipya. CCM ya sasa haisafishiki, ufisadi umeota mizizi kwa miaka mingi. Ni sawa na nguo iliyochakaa sana, ikiendelea kufua inararuka vipande vipande. Ni heri ukaitupa mbali, au ukachoma moto then ukanunua nyingine.
CCM ifutwe, na wale waadifu waundee ccm nyingine.
Hatoswi mtu hapo, Jakaya ni tunda la kazi za Lowassa na Rostam; bila ya hao wawili hakuna Kikwete wala Rais wa Tanzania!! Hawa jamaa wana uwezo wa kuingusha serikali ya Tanzania na hili lilikwishathibitishwa na Pinda bungeni aliposema kuwa anawaogopa hawa mafisadi kwani wana uwezo wa kuiyumbisha nchi!! Watch out those are words from the PM uttered in parliament!
ccm haiwezi kufutwa na itadumu kuongoza nchi hii ya tanzania, kama huipendi ccm hama nchi hii.
Hawa mapacha watatu (EL, AC + RA) wameishatoswa na jahazi linasonga mbele.
Wao na mapesa waliokwiba, hawawezi kumfanya lolote Mh. J.K na serikali yake.
Mh. JK songa mbele nasi kupitia nguvu ya UMMA tunakuunga mkono kwa maamuzi magumu ya kuwatosa hao jamaa. Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe........!
Hawa mapacha watatu (EL, AC + RA) wameishatoswa na jahazi linasonga mbele.
Wao na mapesa waliokwiba, hawawezi kumfanya lolote Mh. J.K na serikali yake.
Mh. JK songa mbele nasi kupitia nguvu ya UMMA tunakuunga mkono kwa maamuzi magumu ya kuwatosa hao jamaa. Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe........!
Nakwambia JK mbele ya EL hana ubavu na tukiwapima kiungozi ukiachilia mbali uovu wa EL,EL anjua leadership na anasimamia kauli zake.EL alijitahidi sana kumsaidia JK kuwa hapo alipo,sote tunajua.Acha tuone mpambano utaishia wapi.
Hakuna chochote hapo,...ni moja kati ya mipango ya kuwapumbaza watanzania!
Hivi JK kwa ubavu gani amchafue EL au RA?
Hapa wamekubaliana,watolewe kafara ili chama kisichafuke zaidi na naamini yote
yalo tokea EL,RA,CH wali husishwa na waka ridhia!
Wizi mtupu,hatu danganyikiiii