Wapende wasipende wanatoka,period
Usidanganyike na mazingaombwe ya CCM hayo!! Hivi kweli unafikiri wako serious??
Walipomuondoa Abdul Jumbe walimpa siku 90??
Walipomfukuza Maalim Seif Sharif, walimpa siku 90??
Jamaa hawako serious, period!!! Sijaona mtu anafukuzwa kazi halafu anapewa siku 90 za kuachia office?? Only CCM!!
Kuna mtu kamloga huyu jamaa
Kuna habari kwamba mbunge wa Monduli mjini alikuwa amepanga kufanya maandamano makubwa mjini Arusha leo akiwashirikisha vijana wa CCM kutoka Monduli na Arumeru ambao wangeonesha kumuunga mkono na kupinga hatua ya CCM kutaka kumtosa yeye (EL) na mfadhili mkuu wa chama (RA).
Morani waliosheheni silaha za jadi ndio wangeulinda msafara mzima ambao unngeanzia CCM mkoa Arusha na kuelekea viwanja vya NMC lakini nasikia baadhi ya watu walimshauri asitishe au pengine yamepangwa kufanyika baadaye.
Hiyo kanda ni ngome ya CDM, 100% Ant-LowassaYasemekana alikuwa nataka kupitia mgongo wa CCM ili kujiosha, lakini ikashindikana, na sasa anaandaa kupitia kabila lake ili kuhutubia na kutoa dukuduku lake, na kupata huruma yao kwa yaliyotokea kule DODOMA. Bado hajakata tamaa. Anajiandaa ku mobilize wamasai na kanda nzima kumuunga mkono. Kwa habari zaidi, fuatilia baada ya muda kidogo.
Jamani wana CCM mmechanganyikiwa leo umeigeuka CCM original kweli Slaa kachoma msitu.Go LOWasa Goooooo