Lowassa: Nitafuta misamaha yote ya kodi

Huyo kutembea hawezi ataweza kusafiri, mie naona gharama za kusafiri hizo 10% zitakuwa za kuendea hospital,

Mwenyezi mungu akulaani..huna haya na ikiwezekana akupige ugonjwa mkali usiamke tena..pamoja na kuwa hatuipendi ccm au magufuli. .but hatuwezi kumtakia mabaya..acha roho mbaya mwanamke..
 
Soma kwa makini mkuu..naona umeteleza anasema ataifuta misamaha ya kodi..maana yake ni kuwa kila kitu kiingiacho lazima kilipiwe kodi!..hajasema kusamehe kodi!
 
Pole sana ndugu yangu. Nadhani jibu ni jepesi sana na ili kuokoa muda katika kukuelewesha kwa kuandika nakala nzima tuma namba yako nikupigie ili nikueleweshe vizuri kuhusiaana na Kodi na jinsi ys kuyajikimisha hayo uliyo taja.

Mimi naielewa vizuri sheria ya kodi. Hoja ni kwamba haiwezekani kufuta kabisa misamaha ya kodi. Tatizo letu ni ukusanyaji dhaifu wa kodi zilizopo na wakwepaji wakubwa ni marafiki wa Lowasa full stop!
 
Mimi naielewa vizuri sheria ya kodi. Hoja ni kwamba haiwezekani kufuta kabisa misamaha ya kodi. Tatizo letu ni ukusanyaji dhaifu wa kodi zilizopo na wakwepaji wakubwa ni marafiki wa Lowasa full stop!

Sasa huoni kwamba una jichanganya mwenyewe. Kama kasema anafuta misamaha ya kodi means marafiki zake wanatakiwa kulipa kodi sio. Au sielewi unataka kuzungumzia issue gani kwani...
 
Kweli kuna nia ya dhati hapa kumkomboa Mtanzania.
 
Huyo kutembea hawezi ataweza kusafiri, mie naona gharama za kusafiri hizo 10% zitakuwa za kuendea hospital,

siasa zisikufanye umkufuru Mungu wako
Nakuheshimu mno wewe ni muislam
siijui sana dini ila sidhani km uislam unaruhusu kebehi na dhihaka kwa mitihani anayokupa MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…