Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,094
Bandari ikisimamiwa vizuri,
Misamaha ya kodi ya kijinga ikifutwa,
Safari za kijinga na matumizi yasiyokuwa ya lazima yakikatwa,
Tunao uwezo wa kuendesha bajeti yetu na ku-fund maendeleo yetu bila kutegemea "kutembeza bakuli" nje.....
Ombaomba ni moja kati ya vitu vinavyotia aibu kabisa....tabu unazunguka kuomba huku deni la taifa likizidi kupaa (nje pamoja na ndani)
Maguguli ndiye anaweza kutembea? Nasikia anatamani kwenda tena Loriondo kutafuta kikombe kingine maana hali yake siyo nzuri!
Duh kikombe cha babu kilichotaaaa haha.
Huyo kutembea hawezi ataweza kusafiri, mie naona gharama za kusafiri hizo 10% zitakuwa za kuendea hospital,
haisaidii kitu iyo Vodacom cjui nn wewe jifarij tu kura tunampa name ikulu anaingia hata kama alikwepa kodiaanze na Vodacom pia aeleze zile bilioni 600 za shovacom,alphatel wazirudishe hapo ndio tutamwelewa kwa sababu ndietutamwelewa kwani na yeye ni mnufaikaji mkubwa wa ukwepaji wa kodi
Matajiri hawahitaji kusafiri sana ili waonekane kuwa wao ni matajiri.
.hapana faiza hapa hujatumia kichwa kufikiri hapana.navyokujua wewe hapana kwa kweliHuyo kutembea hawezi ataweza kusafiri, mie naona gharama za kusafiri hizo 10% zitakuwa za kuendea hospital,