Lowassa: Nipeni bakora niwachape mafisadi!

Lowassa: Nipeni bakora niwachape mafisadi!

Wewe ukitaka iweje hayo ya mwembe yangu if you don't have data you have no right to speak so be cool and stay tune you will see him at magogoni
 
Lowassa is a serious leader.

Sio kama wakata viuno wa lumumba.

Vote for UKAWA, vote for Lowassa.
 
niko negative ila wewe nasikia una HVI mpaka sasa haina tiba kuna ya kupunguza makali tu,naona imekuathiri hadi uwezo wa kufikiri
siku zote vijana wa ccm nimazuzu unakiwango kidogo sana cha ubongo kinacho fanya kazi
 
Magufuli kishasema fisadi hachapwi anafungwa mara moja na mahakama ya mafisadi

Tutamshangaa Makomeo kama atajifunga, Wizara yake ya Ujenzi imefisidi TShs bilioni 230 kwa mujibu wa Ripoti ya CAG.
Ile iliyokuwa nyumba ya serikali iliyopo kwenye maunganiko ya barabara ya Sam Nujoma na iendayo Chuo kikuu-DSM alimwuuzia sijui kimada.
 
Hivi mtu unaweza ukajichapa na pakauma? SIDHANI! Acha wachapwe na Magufuli.
Magufuli hana jeuri ya kukichapa chama chake. kikianguka atasimamia wapi. Acha wachapwe na lowassa, mana huyo anawajua ndani nje na kona zote ndani ya ccm.
 
Ataweza kujianzia yeye mwenyewe na marafiki zake ama ndio porojo za kampeni tu
 
Back
Top Bottom