Lowassa: Nipeni bakora niwachape mafisadi!

Lowassa: Nipeni bakora niwachape mafisadi!

Hakika Baraza la Vichaa Chadema mmegeuzwa kichwa cha wendawazimu. Kila nyimbo mnayoimbishwa mnaimba tu hata kujaribu kutafakari maudhui ya maneno mnayoimbishwa hamna. Mlianzishiwa mengi nanyi mkaimba mpaka sauti zikakauka. MwembeYanga mlitajiwa na viongozi wenu " List of Shame wanaoimaliza nchi hii akiwemo mgombea urais wenu,mkaitikia na kuanza kuimba eeeee hadi sauti ikakauka,mkamtukana mgombea wenu mpaka matusi ya nguoni. Ikaja sifa za Zitto Kabwe mkamsifia eeeeeeh hadi sauti ikakauka,ikaja Dr Slaa mkamsifia eeeeeee hadi sauti ikakauka. Sasa upepo umebadilika kama vile mwendawazimu na siku za mbalamwezi,kablla ya viongozi wenu hawajatuomba radhi kwa kuudanganya umma na kukiri hadharani kuwa wao ni waongo,wamewaanzishia nyimbo nyingine kuwa Lowassa si fisadi ni mudilifu na kiongozi safi,mmeanza kuimba tena,hayohayo yalikuwa kwa Zitto na Dr slaa. Hivi nyinyi hamna akili hata kidogo ya kujiuliza tu hawa viongozi wenu wanawafanya mazezeta au vipi? Mjitafakari na mjitambue. Hili genge la hawa jamaa si watu wema mtajutaa. Fisadi mkuu anaomba bakora ya kuchapia mafisadi?!!!!!!? loooooh
 
fisadi wa kwanza atakaye inama na kushika vidole vya miguu alafu atandikwe viboko ni Kikwete.
 
Lowassa ndiye raisi wako pamoja na porojo yote uliyoandika hapo

Anayekulipa kukesha kwenye Jf mwambie akuongeze. Jibu hoja kweli si kweli? Baraza la vichaa Chadema mko kazini lakini oktoba tutawatafutia mganga wa kuondoa huo ukichaa. Rais wangu ni John Pombe Magufuli. Mtaisoma namba mwaka huu japo kwa bakora. Nikitamka moja unaitikia moja.upooo
 
Anayekulipa kukesha kwenye Jf mwambie akuongeze. Jibu hoja kweli si kweli? Baraza la vichaa Chadema mko kazini lakini oktoba tutawatafutia mganga wa kuondoa huo ukichaa. Rais wangu ni John Pombe Magufuli. Mtaisoma namba mwaka huu japo kwa bakora. Nikitamka moja unaitikia moja.upooo
​kapime maleria
 
Na atawatabdika kweli, mnavyo jifanya wasafi kwakujipulizia pafumu baada ya kutoka chooni?? Jipake pafumu baada ya kutoka bafuni, utajipakaje mafuta ili hali mwili umejaa vumbi?
 
Lowasa baba bakora lazime tukupe, na watz tunaomba uanze na lodilofa nkapa kwa kumtandika viboko 7 vilivyopakwa pilipili halafu unahamia kwa kikwete kwa kumchalaza bakora 5 hawa ndo mafisadi walioyumbisha uchumi wa nchi kwa miaka 20 mfululizo.
 
Hakika Baraza la Vichaa Chadema mmegeuzwa kichwa cha wendawazimu. Kila nyimbo mnayoimbishwa mnaimba tu hata kujaribu kutafakari maudhui ya maneno mnayoimbishwa hamna. Mlianzishiwa mengi nanyi mkaimba mpaka sauti zikakauka. MwembeYanga mlitajiwa na viongozi wenu " List of Shame wanaoimaliza nchi hii akiwemo mgombea urais wenu,mkaitikia na kuanza kuimba eeeee hadi sauti ikakauka,mkamtukana mgombea wenu mpaka matusi ya nguoni. Ikaja sifa za Zitto Kabwe mkamsifia eeeeeeh hadi sauti ikakauka,ikaja Dr Slaa mkamsifia eeeeeee hadi sauti ikakauka. Sasa upepo umebadilika kama vile mwendawazimu na siku za mbalamwezi,kablla ya viongozi wenu hawajatuomba radhi kwa kuudanganya umma na kukiri hadharani kuwa wao ni waongo,wamewaanzishia nyimbo nyingine kuwa Lowassa si fisadi ni mudilifu na kiongozi safi,mmeanza kuimba tena,hayohayo yalikuwa kwa Zitto na Dr slaa. Hivi nyinyi hamna akili hata kidogo ya kujiuliza tu hawa viongozi wenu wanawafanya mazezeta au vipi?
Unajua mbinu za wanasiasa?
 
Hii habari imesomwa magazeti ya leo, nimeisikia katika gazeti la Nipashe. Maoni yako tafadhali. Tumpe tusimpe hiyo bakora?

Hatutampa bakora bali tutampa mijeredi awashughulikie mafisadi gwiji yaliyobobea ktk wizi wa mabilioni, libwana Mkapa na kikwete.
 
Anayekulipa kukesha kwenye Jf mwambie akuongeze. Jibu hoja kweli si kweli? Baraza la vichaa Chadema mko kazini lakini oktoba tutawatafutia mganga wa kuondoa huo ukichaa. Rais wangu ni John Pombe Magufuli. Mtaisoma namba mwaka huu japo kwa bakora. Nikitamka moja unaitikia moja.upooo

kumbe ni Rais wako. Bwana magufuli? Sasa basi Rais wa watanzania wengi ni lowassa hapo vp?
 
Kweli jamaa ana shahada ya sanaa,hii ni biashara ya kumpa mbu kazi ya kutibu malaria

Daaaaah, mkuu punguza kidogo unaumiza mbavu ..."kumpa mbu kazi ya kutibu malaria" nimecheka kweli
 
Back
Top Bottom