Nimekuwa nikifuatilia sana vyombo vya habari vinavyopinga Lowassa(Mwanahalisi na Raiamwema) na vinavyo msapoti(Rai na Mtanzania). Nimefuatilia sana wanasiasa wanaompinga na kumsapoti. Mwisho nimebaini kuwa Lowassa ni tishio kubwa kwa wanaoutaka urais wa muungano ndani ya chama chake na kwa upande wa upinzani. Ana nguvu kubwa sana serikalini na katika chama. Ni bingwa wa kuratibu mtandao kisomi. Ni mtendaji na haogopi. Na iwapo ataamua kugombea, hatakuwa na mpinzani mwenye nguvu ndani ya chama chake na hata ktk uchaguzi mkuu. Sote tumeshuhudia jinsi alivyoweza kuukwaa uenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama bila mtu yeyote kutia mguu kumpinga. Na sasa tumeshuhudia jinsi anavyopata sapoti kutoka kwa Mhe Beatrice Shelukindo na mumewe William Shelukindo. LOWASSA NI TISHIO

Hivi ni lini Watanzania tutakuwa serious..???hivi unaweza kusimama mbela ya jukwaa na kumtetea Lowasa?????????
nawaonea huruma kambi ya rowasa sababu hata adui yenu hamumfahamu poleni sana! najua mnalipwa pesa nyingi ila mjue adui yenu mkubwa yumo ndani ya ccm VILAZA NINYI!naunga mkono hoja,na ndio anayewatia homa CDM,na ndio maana cdm wakilala wakiamka ni lowasa,huyu jamaa akisimama chadema chali coz lowasa anajua siasa za kisasa,ni msomi na ni msikivu na si mropokaji kama padri slaa! sasa wanachofanya cdm ni kumchafua kwa kashfa ambazo hawawezi kuthibitisha,wanabase kwenye rumours only! cdm need to be realistic with people na waambie sera zao na mipango yao,politics of critizing others imeshapitwa na wakati!
Nimekuwa nikifuatilia sana vyombo vya habari vinavyopinga Lowassa(Mwanahalisi na Raiamwema) na vinavyo msapoti(Rai na Mtanzania). Nimefuatilia sana wanasiasa wanaompinga na kumsapoti. Mwisho nimebaini kuwa Lowassa ni tishio kubwa kwa wanaoutaka urais wa muungano ndani ya chama chake na kwa upande wa upinzani. Ana nguvu kubwa sana serikalini na katika chama. Ni bingwa wa kuratibu mtandao kisomi. Ni mtendaji na haogopi. Na iwapo ataamua kugombea, hatakuwa na mpinzani mwenye nguvu ndani ya chama chake na hata ktk uchaguzi mkuu. Sote tumeshuhudia jinsi alivyoweza kuukwaa uenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama bila mtu yeyote kutia mguu kumpinga. Na sasa tumeshuhudia jinsi anavyopata sapoti kutoka kwa Mhe Beatrice Shelukindo na mumewe William Shelukindo. LOWASSA NI TISHIO
Viongozi wote wa CCM ni mafisadi papa,hata huyo Sokoine, alikuwa fisadi bahati mbaya mauti yalimkuta pasipokujipanga sawasawa,mali zake nyingi aliwekeza kwa watu hasa wahindi Arusha na wote waliiliza familia yake,hivyo sishangai kwa Lowasa, amejitayarisha kwa ajili ya kugombea Urais 2015,waswahili wanasema samaki mkaange na mafuta yake mwenyewe,fedha zetu wenyewe zinatukaanga,LAKINI NGUVU YA UMMA NDIYO ITAKAYOAMUA.TUNAMSUBIRI AJE,KAMA ATAWEZA KUHONGA UMMA WOTE WA TANZANIA.
lowasa anajua siasa za kisasa, ni msikivu na si mropokaji
wanachofanya cdm ni kumchafua kwa kashfa ambazo hawawezi kuthibitisha,rumours only
naunga mkono hoja,na ndio anayewatia homa CDM,na ndio maana cdm wakilala wakiamka ni lowasa,huyu jamaa akisimama chadema chali coz lowasa anajua siasa za kisasa,ni msomi na ni msikivu na si mropokaji kama padri slaa! sasa wanachofanya cdm ni kumchafua kwa kashfa ambazo hawawezi kuthibitisha,wanabase kwenye rumours only! cdm need to be realistic with people na waambie sera zao na mipango yao,politics of critizing others imeshapitwa na wakati!