habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Mh rais Magufuli kwann hamtumbui huyu MTU jamani? Angemtumbua walau huu wimbo ungeisha maana tumechoka kuusikiaNi kweli amelitumia taifa hili kwa kujilimbikizia mali kwa njia za kifisadi.
Mh rais Magufuli kwann hamtumbui huyu MTU jamani? Angemtumbua walau huu wimbo ungeisha maana tumechoka kuusikiaNi kweli amelitumia taifa hili kwa kujilimbikizia mali kwa njia za kifisadi.
Bunge la tisa lilishamtumbua......uwaziri mkuu pwaaaaaaMh rais Magufuli kwann hamtumbui huyu MTU jamani? Angemtumbua walau huu wimbo ungeisha maana tumechoka kuusikia
Nimekupa kiongozi, barikiwaMkuu soma tena vizuri utanielewa hakuna mahali nimesema ni simba wa yuda ,kuna neno nachelea hapo
Mahakamani hajawahi kutia mguuu, mafisadi wote tumeshuhudia wakifikishwa kunako mahakama, yeye ufisadi wake ukoje hata asifike mahakamani?Bunge la tisa lilishamtumbua......uwaziri mkuu pwaaaaaa
Kwani aliendelea na uwaziri mkuu au aliuachia? Kama aliuachia ni kwa nini ilhal yeye hahusiki na ufisadi wa Richmond?Mahakamani hajawahi kutia mguuu, mafisadi wote tumeshuhudia wakifikishwa kunako mahakama, yeye ufisadi wake ukoje hata asifike mahakamani?
Mkuu hebu acha kujifanya mtoto ili hali sauti yako INA besi, hayo maswali hayastahili kuulizwa na MTU km wewe,Kwani aliendelea na uwaziri mkuu au aliuachia? Kama aliuachia ni kwa nini ilhal yeye hahusiki na ufisadi wa Richmond?
Naona unakingwa na tashwishi.....haya nielimisha wewe mwenye sauti nyororo kwa nini Lowassa alijiuzulu uwaziri mkuu?Mkuu hebu acha kujifanya mtoto ili hali sauti yako INA besi, hayo maswali hayastahili kuulizwa na MTU km wewe,
Kamuulize mwakyembe atakuambia, na pia umkumbushe Mh mwakyembe kuwa wananchi tunataka lowassa afikishwe mahakamanNaona unakingwa na tashwishi.....haya nielimisha wewe mwenye sauti nyororo kwa nini Lowassa alijiuzulu uwaziri mkuu?
Naona unaruka ruka tu.........Kamuulize mwakyembe atakuambia, na pia umkumbushe Mh mwakyembe kuwa wananchi tunataka lowassa afikishwe mahakaman
Nadhani wewe ndo unarukaruka umekosa ushike wapi unahangaika tu, kuliko kurudi CCM ni bora ungeachana na siasa km wengine tulioamua kujitoa kwa hali kuitumikia jamii ya kitanzania kwa njia nyingine,Naona unaruka ruka tu.........
mkuu nchi hii viongozi wazuri wanapigwa vita na kuchafuliwa sana na kikundi kidogo chenye maslahi. Hata Mh Magufuli Angejifunua kabla Angechafuliwa sana.Mwamba wa Kaskazini. Siku JPM akipata akili kumtumia Lowassa kufanya "narration" ya kuhusu zake za kuleta maendeleo hii nchi itapaa.
Unaruka ruka kwenye hoja......kwa nini bosi wako alijiuzulu unaniambia nimuulize Mwakyembe. ....yaani unajitia upofu wa lazima wa kutoliona sakata la Richmond ndilo lililomtumbua swahiba yakoNadhani wewe ndo unarukaruka umekosa ushike wapi unahangaika tu, kuliko kurudi CCM ni bora ungeachana na siasa km wengine tulioamua kujitoa kwa hali kuitumikia jamii ya kitanzania kwa njia nyingine,
Mbona hajapelekwa Mahakamani?Ni kweli amelitumia taifa hili kwa kujilimbikizia mali kwa njia za kifisadi.