Lowassa ni taasisi madhubuti

Lowassa ni taasisi madhubuti

Unaruka ruka kwenye hoja......kwa nini bosi wako alijiuzulu unaniambia nimuulize Mwakyembe. ....yaani unajitia upofu wa lazima wa kutoliona sakata la Richmond ndilo lililomtumbua swahiba yako
Mkuu tatizo ukada umeuweka mbele kuliko utu, kwanza kujiuzulu na kutumbuliwa ni vitu tofauti, lowassa hakutumbuliwa ila alijiuzulu, labda tuanze kuelimisha kwanza kuhusu kujiuzulu na kutumbuliwa ili twende sawa
 
Kwa lugha ya sasa hivi kule kunaitwa kutumbuliwa kuliko sababishwa na bunge......BTW mie ni kada wa zambarau
 
Wonder shall never end hakyamama .....tukapimwe akili ...
 
Lowasa kasababisha Meya wa Bongo kutoka upinzani , kasababisha, kuibuka kwa wabunge wanne huku Dr. Masabuli kubwa la maadui kubwagwa kama mchele
 
Laigwanan El. Halafu ni mcha mungu mbaya kabisa. Amejaa hekima na busara, asiyependa majibizano na mwenye karsma ya kipekee.

Anyway, twende na magu na tujipange kwa uchaguzi ujao.
 
Unaruka ruka kwenye hoja......kwa nini bosi wako alijiuzulu unaniambia nimuulize Mwakyembe. ....yaani unajitia upofu wa lazima wa kutoliona sakata la Richmond ndilo lililomtumbua swahiba yako
Collective responsibility + Makovu ya Sitta kuukosa u PM ambao nae alikuwa ka ahidiwa na Mkwere + Visasi vya team Mwandosya na Malecela waliojeruhiwa na Team Kikwete chini ya Lowassa kama M/Kiti mwaka 2005. Richmond ni kivuli tu, ndo maana hadi leo mnaendelea kuilipa, na juzi wamedai billion 400 kutoka Serikali ya Tz. Nilitegemea kama Richmond ni ya Lowassa angeondoka nayo alipojiuzulu! Ila ipo huku ikibatizwa kila leo!
 
Back
Top Bottom