Lowassa ni Nyota Gani?

Lowassa ni Nyota Gani?

Ccm hawaishi kumtaja lowasa,na kupitiaaa uzi utawaona magamba wanavyotoka makamasi

Ovaa
 
NAOMBA wataalamu wa Nyota waje hapa wanisaidie kuniambia Huyu Mzee EDWARD NGOYAI LOWASSA ni wa nyota gani? Yaani, anatajwa kila mahali na kila mtu kuliko hata Rais na Mwenyekiti wa CCM!!!
Mkutano wa Jana wa CCM Mjini Dodoma, jina lake lilitajwa mara nyingi kuliko CCM yenyewe!
Nyota ya upigaji!
 
ukiona wanaume wanakaa chini wakikoroma kutaja jina moja tu tangu asubuhi mpaka usiku wa manane ujue huyo wanajuwa muziki wake
 
ukiona wanaume wanakaa chini wakikoroma kutaja jina moja tu tangu asubuhi mpaka usiku wa manane ujue huyo wanajuwa muziki wake
Wanaume hao ndio hawa au?
Makhambaa
Mukyapa
Makofulie
Yakayae
Chinanah
Vyeo
Mlemavu
Shwain.........

Ni wanaume hawa au ni wapi??

Nakapenda kawimbo flani hivi amazing.... "wanaume kama mabinti"
 
Magamba wamelala sahv wanakoroma huku wakimtaja lowasa.....lowasa....lowasa wakiongozwa na stroke&co
 
ananyota ya kunguni, yeye ni mtu wa kukosa tu, kwa sababu ya ufisadi wake. alitaka amtumie jk kuingia ikulu lakini akaamua kummwaga mapema kupitia richmond, ufisadi wake ndio unaomfanya akatwe kila anakoenda. kama bado anandoto za uraisi, ajiandae kukatwa tena chadema. sidhani kama ataruhusiwa anunue ugombea kwa mara ya pili.
Ww ndye unanyota ya kukosa huna hata hadh ya kufuta viatu vyake kabwela mkubwa hata sukar imewashibda kuaford ila bado mnaimba wataisoma number.
 
alimuibia baba yako mke nini kwanza kapime dna ny be ni baba yako wa kufikia na wewe ndiyo unajua mambo ya family yenu mpelekeni mahakamani dada yangu
Calm down mazafaka. Povu lote hilo la nini? Mpaka unataja na mama zetu kwa ujinga huu wa kisiasa tena siasa hizi uchwara? Mishipa ya shingo imekutoka unatukana wenzio ukipigania jianasiasa zee ambalo wala halijui kama upo hapa duniani. Kama siyo usenge ni nini? Shwaini!
 
kwanini wanataja Lowassa ni mwizi.swali alikamatwa?au alipelekwa mahakamani na kama uwezi jibu basi tutajua labda mna dili nae katika familia yako na funguka mwizi kivipi?mambo ya home kwenu na lowassa msituingize humo.
 
Kwa kuzungusha mikono?
ameibadilisha tanzania hapa ngosha anakimbia mchakamchaka kwaajili ya ngoyai..................... ngoyai oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee saa hizi kina masamaki jela kina sijiu nani wametumbuiliwa vyeti bandia wanahara na kutapika
 
Wanaume hao ndio hawa au?
Makhambaa
Mukyapa
Makofulie
Yakayae
Chinanah
Vyeo
Mlemavu
Shwain.........

Ni wanaume hawa au ni wapi??

Nakapenda kawimbo flani hivi amazing.... "wanaume kama mabinti"
FB_IMG_1469427511949.jpg
 
Back
Top Bottom