Hivi Jk anaweza kua mvumilivu kumshinda Lowassa ambaye ametukanwa kila aina ya tusi, tena mpaka anaitwa mzogo unaotembea!
Hakyanani CCM hii laana itawatafuna mpaka mtakapoisha wote kisiasa ndani ya chama.Huyu mzee ni mvumilivu haijawahi kutikea ever, hajawahi kutukana wala kukashifu mtu mdani ya siasa yake.Kama na nyinye wenyewe mnakiri nguvu yake inatisha mnafikiri anashindwa kuwajibu?
Mliambiwa mpeleke ushahidi mahakamani mnajichekelea tu, pelekeni ushahidi kama Lowassa ni fisadi! Mnaogopa nini wakati ninyi mnadola ilihali Lowassa yuko mtaani kama raia tu?
Narudia tena nchi hii hakuna mtu mvumilivu kama Lowasaa.Hata kama angekua fisadi kweli yeye kama binadamu asingeweza kuacha kujibu mapigo, asingeweza kutukanwa na wototo wadogo tena aliowalea yeye akakubali. CCM hii laana itawatafuna tu, mtakapoanza kuparanganyika wenyewe kwa wenyewe ndio mtamjua vizuri Lowassa.