Lowassa ni Nyota Gani?

Lowassa ni Nyota Gani?

Nasema kweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu, nitamtumbua kweli kweli, na ninaposema kweli kweli ni kweli kweli kabisa.
 
images-18.jpeg

Masia katumwa na Mungu kuja kuwaokoa wana wa Tanganyika
 
NAOMBA wataalamu wa Nyota waje hapa wanisaidie kuniambia Huyu Mzee EDWARD NGOYAI LOWASSA ni wa nyota gani? Yaani, anatajwa kila mahali na kila mtu kuliko hata Rais na Mwenyekiti wa CCM!!!
Mkutano wa Jana wa CCM Mjini Dodoma, jina lake lilitajwa mara nyingi kuliko CCM yenyewe!

ananyota ya kunguni, yeye ni mtu wa kukosa tu, kwa sababu ya ufisadi wake. alitaka amtumie jk kuingia ikulu lakini akaamua kummwaga mapema kupitia richmond, ufisadi wake ndio unaomfanya akatwe kila anakoenda. kama bado anandoto za uraisi, ajiandae kukatwa tena chadema. sidhani kama ataruhusiwa anunue ugombea kwa mara ya pili.
 
Masihi wa BAVICHA na baraza la wazazi chadema (bawacha). Kila siku ana press conference na BAVICHA wanafarijiana kuwa walishinda ila wakanyang'anywa ushindi, kama alidhurumiwa ushindi hapana shaka kuwa nyota yake ni ya mkosi maana kukatwa kote huko ni kiashiria cha mikosi na sio jambo la kujisifu au kumsifia.
 
NAOMBA wataalamu wa Nyota waje hapa wanisaidie kuniambia Huyu Mzee EDWARD NGOYAI LOWASSA ni wa nyota gani? Yaani, anatajwa kila mahali na kila mtu kuliko hata Rais na Mwenyekiti wa CCM!!!
Mkutano wa Jana wa CCM Mjini Dodoma, jina lake lilitajwa mara nyingi kuliko CCM yenyewe!
Hofu ya Mungu pekee yatosha kuwachanganya akili adui zako na wale wote wakuombeao mabaya.
Wao wanamtukana,yeye anawasamehe.
Wao wanamkashifu,yeye anawasamehe.
Ukiongozwa na Hofu ya Mungu,lazima kila mtu atakutamka tu,iwe kwa wema au ubaya,utayajwa tu hata kama haupo kwenye nafasi halisi ya kutajwatajwa.
 
Back
Top Bottom