Waingereza bwana hawana lolote!, ni kama wanga wanga fulani, type ya mijibwa koko kazi yake kubweka bweka tuu lakini haing'ati!. Kama mijizi ilitia kibindoni chaa juu kwenye Rada, na wakashindwa kufanya chochote zaidi ya kutubwekea hapa na kuwachafulia tuu majina watu wetu safi, kwenye hili ndio watafanya nini?!.
Ama kweli, "a barking dog seldom bite!", hivi kweli mnaweza kuulinganisha ufisadi wa Eddo na wa yule aliyefanya biashara ikulu?, jee mnajua Richmond ni dili ya nani haswa?, na jee mnajua umeme umepanda bei kumlipa ile tozo ya Dowans?, enfdeleeni kumdhania ni Eddo, mtakampomjua rasmi ni nani!, mtabaki midomo wazi!.
CCM wote ni wachafu, msafi wao ndio Eddo!.
Pasco
Labda kama hunijui!, nisome kidogo hapa labda utanielewapaso pasco, unawasema wote wachafu?pasco pasco, kaa usome maandiko yako ya kale uone unavowasifia chama cha wachafu!
Malecela ni mzee wa chadema???wazee wa CHADEMA mwa muogopa Lowasa ndo maana mnachonga sana. Lowasa ndo anaweza kupeleka kijiti cha maendeleo fasta. Tuwaachie wa tz waamue 2015
Mnaofikiri huyo lowasa atafaa sana kuwa raisi mnakosea,ni mtu asiyetosheka hafai kuwa kiongozi labda wa kimila.
i think ume-quote a wrong post, sijamwandama lowassa... nimeshangaa wanaosupport waingereza kumwandama lowassa wakati wao ndio mama wa ufisadi na wizi wa rasilimali zetuMbona Uingereza ndio waliowapa Wakubwa rushwa ili RADA inunuliwe kwa gharama isiyostahiki. Pia, Ufisadi uliibuka kwa kuwauzia Saudi Arabia ndege za kivita kwa ufisadi mkubwa na ilipoibuliwa tuhuma hiyo Saudi Arabia wakatishia kuvunja uhusiano wa KiBalozi wakanyamaza Kimya. Acheni kumwandama Lowasa maana amekutieni jiti CCM pazuri ndio mnatapatapa
Alafu kwa hela alizona nazo, badala ya kumrithisha mwanae elimu, uadilifu anamrithisha ufisadi. Hivi Huyo kijana wake tutegemee nini 'akishakomaa' kwenye hiyo tasnia... Tanzania itapona kweli!?