Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,000
Lowasa anampenda sana mungu na sasa ameamua kufanya kazi ya kulieneza neno kwa kuwawekea waumini miundombinu mbadala. Kazi kwenu waumini mshindwe wenyewe kuhudhuria ibada. Lowasa ubarikiwe sana
EL amelifanyia nini taifa zaidi ya kuiba fedha za tz na kusimamisha wakurugenzi majukwaani?
Siyo waziri mkuu staafu,ni waziri mkuu alijiuzulu!Huyu mzee kahamia makanisan sa hivi!kampeni zake zimekuwa makanisani!kwanini asialikwe mwingine kuchangisha?yeye ni kama nani!?
Unakazwa ww!!Tupungeze wivu na vinyongo, hata kama wewe mmoja humpendi wengi wakampenda basi unachotakiwa ni kufuata wengi.
Mwenye data za wizi wa Mh E. Lowassa alete hapa kama hakuna, Lowasa oyeeeeeee! 2015 vote for Lowassa.
Chaguo la Mungu hilo. Hakuna msafi hapa Duniani wooooote tu wachafu. Wewe ni mara ngapi umemwangalia mke wa mtu kwa jicho la mahaba? Huo ni uchafu mbaya sana kuliko wezi wa pesa, na wewe ni mara ngapi umemhusudu mume wa mtu?
Lowassa oyeeeee
badili hiyo sentensi haraka kabla hajachefua wengi wenye akili timamu
Unapumuliwa ww!!Usichukue maneno ya mtaani na kuyaleta kwa watu,toa mfano,ameiba hapa kiasi,hiki naushahidi huu,ukisema tuu mwizi haikupi uhalali wa hoja yako,mimi nina mifano ifuatayo,ambayo nina ushahidio juu ya umahiri na uchapa kazi wa Lowwassa,1.Alisimamia kidete wizara ya maji na kufanikisha kuvunja mwiko kwa kuvuta maji kutoka Ziwa Victoria hadi mikoa ya mwanza na Shinyanga na hivyo kuwasaidia watu wetu kupata maji ya uhakika,hili lilihitaji kuthubutu na kusimamia, 2.Serikali ilikosa pesa za kujenga Chuo Kikuu cha Dodoma ndani ya muda mfupi Lowwasa alisimamia kidete mifuko ja jamii kutoa pesa na kuwajengea watoto wa kitanzania Chuo kikubwa kabisa katika ukanda wa Africa ya mashariki na kusini leo hii tunajivunia chuo hakijaota bali ni mipango na usimamizi wa huyu jemedari wa kazi chini ya mzee wetu Kikwete 3.Lowasa kwa kuona watoto wa wanyonge wanakosa elimu alisimamia kwa dhati na kidete hadi zikajengwa shule za kata nchi nzima na kufanya idadi ya sekondari kuongwezeka kwa asilimia elfu maja na mia tano karibu.4.Palipotokea tatizo la umeme nchni na kuonekaka kuwa Richmond haikua na uwezo wa kuzalisha umeme kwani ilikua ni kampuni isiyo na uwezo,Lowasa alikua tayari kuwajibika na kujiuzulu uongozi mkubwa kabisa wa nchi ili kupunguza joto la kisisa kwa Jemedari wetu Rais Kikwete 5.Lowwasa ameonesha uvumilivu na ukomavu wa kiuongozi baada ya kutukanwa sana na kuamua kukaa kimya jambo ambalo angeweza kukurupuka na kujibu mapigo 6.Lowwasa ameweza kuona tatizo la ajira kwa vijana katika taifa letu jambo ambalo hata Rais wetu Kikwete alilizungumzia kwa mkazo
chuki yako kwa EL isikupofushe na kuanza kutukana watu.Unakazwa ww!!
Wanakukamerun ww!!Jamaa ni mtu wa watu, anayekubalika,hata kama haupendi. Matatizo yetu viongozi wengi hawayajui kwa kuwa hawapo karibu na wananchi, viongozi wengi wapo mijini, ila EL muda mwingi yupo na wananchi wa kada zote, wa kada ya chini na juu.
EL hana mipaka. Fanya utafiti maeneo mengi ya nchi utaupata ukweli.
Nyie mnawaza urais 2011 kwa kufanya fitna, ila jamaa anapambana na umasikini na kujenga chama chake.
Tafakari.
Unakanyagwa ww!!wizi upi alioufanya lowasa? richmod? big no. Weka wizi wa lowasa niujue
Wanakukamerun ww!!