Kuna wakati huko nyuma niliuliza lakini hata Mzee Mwanakijiji alishindwa kunisaidia, Lowasa alijiuuzulu uwaziri Mkuu kwa kashfa ya Richmond ili amnusuru rafiki yake BoyZ to Men Mheshimiwa Jakaya Kikwete.
Kwa upeo wangu mdogo mtu akijiuzulu anakosa sifa ya kuwa mstaafu kwa hiyo Kama CCM wanamwita mstaafu ni kosa kubwa na Waziri wa fedha pamoja na Rais hawakupaswa kuidhinisha Edward Lowasa(MB) kulipwa mafao ya Waziri Mkuu mstaafu ambayo ni asilimia 80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu anayeko madarakani.
Once tukijua hicho kiasi ndipo tukokotoe hizo gharama anazochangia makanisa na kipato chake Halali of course aliiba sana na anazo pesa nyingi no doubt, hii inanipa wakati mgumu pia na usafi wa haya makanisa ambayo siku hizi yameanza biashara na kwa kuwa yana wafuasi wengi ni jambo la hatari kwa mwanasiasa kukaa nyuma ya dini.
All the time religious extremism is a cancer "whether Muslim or Christian " misingi yake mikuu ni ubaguzi : sisi na wao: mwisho wa siku ni vita. Tumwogope mwanasiasa staili ya Lowasa na lazima aangushwe at any cost!
Hivi huwa anaendaga pia misikitini kuchangisha?? Au misikiti haihitaji harambee???
ogopa sana mtu aliyeona loop za kukwapua kipindi cha nyerere. Sasa hivi kila sehemu anaona ni pa kuchukua tu, huyo huyo lowasa mzee wa artificial rain ndo facilitator wa richmond baadaye dowans(ambayo bado inatudai kama taifa) mchuma majanga hayo yote ndo mnaye mpepelea kuingia ikulu!! Lowasa ni mwizi mwandamizi, hakuna cha kutunziana heshima na jk hapa wote wezi. Jiulize, dili la richmond lisinge bumbuluka.............?EL viva sana kwa michango unayotoa kusaidia jamii na hakika Mungu yuko pamoja nawe. Kuhusu urais 2015 we are together with you, the hard working and creative man
I strongly support EL for presidency 2015
Nenda jukwaa la Utambulisho mkuu hapa c penyewe
kwahiyo lowasa ndiyo mkondo pekee wa kupgtishia? La viongozi wa dini nalo ni donda ndugu kwa taifa, sijui ni Mungu gani huyo anaye waongoza mpaka watangazie umma kuwa flani ni chaguo lake (Mungu) afu baadaye wanamtolea matamko huyo mteule wa Mungu wao, tujiadhari nao pia.Nitajibu moja tu hapo:
Sehemu kubwa ya pesa anazotoa "Mgeni/mwongoza harambee" hutoka kwa marafiki zake na watu wema wengine-si zake!
Kwa viongozi wa Serikali walioko madarakani na wenye mafungu ya kuchochea maendeleo kwenye ofisi zao huweza kutoa sehemu ya pesa za kuchochea maendeleo kama mchango kwenye harambee zenye faida kwa jamii.
haya twambiye richmond ni nani?wizi upi alioufanya lowasa? richmod? big no. Weka wizi wa lowasa niujue
Na je unajua maana ya kuwajibika kulingana na nafasi yako ya kiuongozi[ political responsibility]?Tatizo la viongozi wetu ni kutokubali kushindwa,hivi kweli Lowassa ni mstaafu? mimi ninavyo fahamu maana ya neno mstaafu ni mtu aliyefanya kazi ya utumishi na kuimaliza kulingana na umri na kwa nafasi za kuteuliwa ni mtu aliyemaliza muda wake bila kujiudhuru kwa kashfa yeyote.
viongozi wa makanisa wana elimu na uelewa wa mambo mkubwa sana. To an educated and visionary one, EL is a right presidential materialJamani naomba msaada wenu wa jibu la swali hili.Hivi ni kweli kwamba Makanisa yote Tanzania yanamuona Edward Lowasa kwamba ndiyo National figure kiasi cha kumuhitaji katika hafla zao zote za fundraising?.
subiri 2015 ndo utamjua yeye ni nani
hebu twambie kwanini selikali selikari ilijiuzuru?Hivi nyie mnaodai EL ni fisadi mna EVIDENCE? na kama mnazo kwa nini msizipeleke mahakamani? Acheni uvivu wa kufikiri na chuki binafsi enyi wafuasi wa NEPI. Na kwa taarifa yenu EL ni chaguo la watu wote wanaotaka rais mchapa kazi, mwenye credibility katika leadership, creative na confidence. 2015 mtalia na kusaga meno enyi wafitini