Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,455
Katika kufunga kampeni za udiwani kata ya misugusugu kibaha, leo lowassa atakuwa mgeni rasmi, naona viwanja vimeanza kupendeza nimesafiri kwa ajili ya kutazama mambo yatavyokuwa,
Stay tune kwa update
Update
Polisi wamemwagwa viwanja hivi na kazi wanayofanya kukamata vijana tu
Bodaboda wote walioweka bendera wanatakiwa wazitoe zote
Kuna vijana wawili wamekwishakamatwa na wamepelekwa ndani