BIG RESULTS NOW
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 673
- 36
Haya ni Waziri Mkuu aliyejiuzuru na ni rais 2015 vp unalingine?Hivi sio kweli kwamba Lowassa ni Waziri mkuu aliejiuzulu kwa kashfa ya Richmond? Kwanini watu watake kupotosha wengine kwa jambo lenye kueleweka?
Kamwe siwezi mshabikia mtu kwa kabila lake ila nitamshabikia kwa utendaji wake.
Hata km ni baba yangu lakini ni Fisadi lazima nitampinga popote.
Zuzu pekee anayeweza kuona dignity kwa mtu aliyepewa mradi mmoja tu wa RICHMOND ausimamie kisha akaliingiza taifa hasara na mlolongo kibao wa Rushwa kisha mazuzu yanakuja hapa na kumuita mstaafu na sifa nyingine za ovyo ovyo.Inahitaji akili za ovyo ovyo kukubaliana na ushabiki huu wa kikauzu kabisa[/QUOTE
Hata wewe yahya wa Willbrod Jnr unasema. Huo muda umepata wapi. ngoja Josephine aje ajue kuwa ulitoroka wakati unafua nepi na ch..pi za za mama na mwana uje upate cha mtema kuni. Ukweli siku zote nakuona zuuzu tu kwani yote usemaye huwa ni chki dhaifu ambazo hazina fact na dhaifu mno
i am sorry to use a confusing language! Anayemuitaji huyu msanii lowasa ni wewe, familia yako na mama yako. Kama ni mchangiaji kwenye family yenu lazma uongee huu upumbavu. Jamaa ni fisadi na hapashi kukabidhiwa nchi kama unavyoleta utoko wako. Kama kikwete ndie mhusika wa richmond, kwanini alikubali kutumika? Ina maana akiwa rais wazungu wakamwambia tz tunataka muwe mashoga basi, sote tz tutaolewa na wanaume wenzetu. Pambafu[/QUOTE
Wewe tuliza ma.ka.li.o hayo huna impact yoyote ndani ya hii nchi subiri wanaume tukuongoze
akunwe tu
mbona hakuyafanya hayo monduli ?
lowasa si ana kifungo cha miezi 12.
Matusi ni njia ya mtu alieshiwa hoja kuhalalisha ujinga wake!
Kama huoni si upapase ndugu yangu?
Wapi ktk mjadala huu au ktk michango yangu nimemtaja Dr Slaa?
Je umefwatilia hoja zangu km kuna sentesi hata moja nilioiandika kumuhusu Dr Slaa au Cdm?
Kwani wote wanaompinga Lowassa ni Wanachadema au wafuasi wa Dr Slaa?
Waziri wa Afrika Mashariki Samwel Sitta anampinga Lowassa je nae ni Cdm?
Waziri mkuu Mstaafu Fredrick Tuluwai Sumay anampinga Lowassa je nae ni mfuasi wa Dr Slaa?
Katibu wa Halmashauri kuu na uwenezi Ccm Nape Nauye nae anampinga Lowassa huyo nae ni Cdm?
Mbunge wa Simanjiro mh,Christopher Olonyokie Ole Sendeka anampinga Lowassa je huyu nae ni Cdm?
Na wengine wengi tu. Sasa unapata wapi Moral authority ya kunitusi na kuingiza Wazazi kwenye mjadala huu wakati mimi sikumtaja Dr Slaa wala Cdm ktk hoja zangu,na sikuwataja Wazazi wako?
Kumbuka kichwa sio kwa ajili ya kufugia tu nywele lakini pia ni kwa ajili ya kufikiri. Sikutegemea kwamba utatumia Matusi na kashfa kunishawishi ili niamini kile unachokiamini wewe.
Nilisema Lowassa ni Waziri mkuu aliefukuzwa na bunge wewe unasema ni Waziri mkuu mstaafu,sawa kila mmoja anao mtazamo wake.
Tumetofautiana pia ktk kufikiri,je ni lazima nikubali kile unachosema au wewe ukubali ninachokisema?
Ungetumia tu busara kujenga hoja na kunishawishi na sio kunikashfu na kunitukania Wazazi.
Hata mimi najua kutukana ila najiuliza Mada hii ilikua ya matusi?
Mimi nilichangia hoja km watu wengine walivyochangia nashabgaa mnaanza kunishambulia je hii ndio Demokrasia?
Kama watetezi wa Lowassa ni watu wa aina yako,basi tuhesabu kwamba hakuna kitu.
Ukificha upumbavu wako hakuna atakae jua kwamba wewe ni --------.
Ukimwona MWANAUME anashadadia kumsifia mwanaume mwenzie basi ujue huyo sio Rizki!
Haiwezekani mtu mwenye akili timamu awe anamlazimisha mwenzie kumpenda mtu asiempenda.
Tatizo lenu nyie ndg zangu ni kudhani kwamba siku Lowassa akiwa Rais basi maisha yenu Wamasai yatabadilika
Mimi ni mmasai ndio lakini itikadi yangu inakinzana na Mafisadi,wewe ni nani hata unihukumu kwa kumpinga Mumeo?
Fanyeni kazi wacheni kujipendekeza kwa waume za watu,mtakuja kujikuta mmebebeshwa Mimba,haya shauri zenu!
inaelekea mimba yako ilitungwa nje ya kizazi ndio maana,
najuwa imekuuma sna,sasa jifunze kuwa na adabu usiwe unakurupuka hilo la wazz wako liko waz wala siyo siri,na nimeamuw kukujib hayo kwasabu ndio uliyokuwa unayatafuta,na siku zote hoja za kipumbavu hujibiwa na hoja za kipumbavu,na umweleze hata uyo mzazaliye kuzaa bora angezaa mbwa kwasabu angewasaidia kulinda,kuliko kuzaa mtoto ambye syo rizik,utaishia kutobolea tu
najuwa imekuuma sna,sasa jifunze kuwa na adabu usiwe unakurupuka hilo la wazz wako liko waz wala siyo siri,na nimeamuw kukujib hayo kwasabu ndio uliyokuwa unayatafuta,na siku zote hoja za kipumbavu hujibiwa na hoja za kipumbavu,na umweleze hata uyo mzazaliye kuzaa bora angezaa mbwa kwasabu angewasaidia kulinda,kuliko kuzaa mtoto ambye syo rizik,utaishia kutobolea tu
Narudia kusema tena kwamba! Hekima huficha upumbavu wako. Sina muda wa kutukana ila najaribu tu kukuelewesha kwamba,kutukana kwako hakutanifanya niamini kwamba Lowassa ni Waziri mkuu aliejiuzulu.,zaidi sana nitaamini kwamba huna hoja za msingi isipokua unahoja za matusi.
Umeacha kujadili hoja iliyoko mezani umebakia kutukana! Je ni kweli kwamba wewe hukuzaliwa na Wazazi?
Km unaweza kuporomosha matusi namna hii kisa sitaki kuamini na kukubaliana na maoni na mtazamo wako je ninalo la kukuambia zaidi ya kubakia na msimamo wangu kwamba Lowassa ni Waziri Mkuu aliefukuzwa na Bunge na sio Waziri Mkuu mstaafu!
Ulinishambulia kwa matusi na kuniambia mimi na wazazi wangu sijui nini Dr Slaa,,nimekuuliza maswali hukujibu badala yake umeendeleza matusi yako.
Nilikuuliza je Nape,,Sitta,,Mwakiembe,,Sumay,,Makonda nk, nao pia wanampinga Lowassa je nao ni wafuasi wa Dr Slaa na Cdm?
Nikushauri tu kwamba,Siasa ni Demokrasia ukiona mtu hakubaliani na unachokipenda wewe,usimuone ni adui ila mshawishi kwa hoja ili akubaliane na wewe,lakini kuendeleza matusi sidhani km ni sahihi.
Kwanza kumtukana mtu usiemjua sidhani ni sahihi. Kwanini unataka mimi nikubaliane na hoja zako lakini wewe hutaki ukubaliane na hoja zangu? Kwani wewe kumpenda Lowassa na mimi nikamchukia ni dhambi?
Kwani km Mungu ameamua kwamba Lowassa "atakua" au "hatakua" Rais wa tano wa Tanzania Matusi yako na kumpinga kwangu yaweza kubadili Maamuzi ya MUNGU?
Jifunze kuwavumilia wale wasiokubaliana na wewe,km ambavyo pia wengine wanakuvumilia japo unawatusi bila sababu!
Msimamo wangu ni huu,kwamba sikubaliani na Wanaosema Lowassa ni Waziri mkuu mstaafu.
Nishawishi kwa hoja ili nikubaliane na mtazam wako,lakini kunutishia kwa matusi wala hainiumi isipokua naendelea tu kukupuuza na kukudharau.
Siasa kuna kustaafu? Ukiniambia Mawaziri Wakuu wa zamani hapo sawa. Leo hii Sumaye akirudi Bungeni akachaguliwa tena kuwa Waziri Mkuu utampatia title gani? Kuna muda kikatiba kwamba Waziri Mkuu atashika madaraka kwa term ngapi? Na kwanza hata hawa wote ikimwondoa Sumaye ndiye kawa PM vipindi viwili mfululizo. Malecela alipigwa chini akarudishwa Msuya wakati wa awamu ya pili.
lowassa alijiuzulu kwa kulinda serikali ya baba riz moja,ww najuw humkubali lowassa lakin muulize mama yako mzaz nan anafaa kuongoza hii nchi kama hatakuambia ni lowassa
Dada Kanusu ahsante kwa ushauri wako, nimempigia Mama yangu aliyepo kijijini nikamuuliza ulichosema. Haya ndiyo mazungumzo yetu.
Mimi: Mama shikamoo, hamjambo huko kijijini?
Mama: Marhaba mwanangu, sisi wazima tu Alhamdulilahi. Nyie vipi huko?
Mimi: Mama sisi hatujambo. Nisipoteze muda wako, umesikia Edward Lowassa anataka kuwa Rais? Unaonaje kuhusu jambo hilo?
Mama: Eti, nini mwanangu?
Mimi: Nimesema kuwa Edward Lowassa anautaka Urais 2015. Je anafaa?
Mama (aangua kicheko): Hihihihihi.... Kwani kwenye Watanzania milioni 45 hakuna mwingine anayeweza kuwa Rais? Huyo si alifukuzwa kazi na Bunge mwaka 2008 baada ya kuhusika kwenye ufisadi wa Richmond? Labda akagombee Urais wa TFF.
Mimi: Haya mama nakutakia siku njema. Unaona nani anafaa kuwa Rais ndani ya CCM?
Mama: Wapo wengi tu wanaofaa. Nao ni Dk. Asha-Rose Migiro, Samuel Sitta, Harrison Mwakyembe na John Magufuli. Hawa hawana kashfa yoyote na wanakubalika sana na wananchi. CCM ikiwaweka hawa kampeni ya Urais itakuwa nyepesi kwao. Nyie watoto wa taifa hili msifanye mzaha. Iweje mtu kama Lowassa mwenye utajiri mkubwa usioelezeka. Aliyelazimika kujiuzulu kwa kashfa leo atajwe kama mtu anayeweza kugombea Urais? Rushwa italimaliza taifa hili, kama hata wananchi watakubali kuuza kura zao kwa mafisadi.
MWISHO WA MAONGEZI
sikiliza www choko!!!mkuu amekujibu hvyo ili kumridhisha baba yako kwasabu ulimuuliza kwa sauti itakuwa baba yako alikuwa karibu,ungefnya kura za siri ungepata matokeo mazuri,hizo kura za waz huwez pata matokeo mazuri
whether u like or not, Lowasa is the president to be.
whether u like or not, Lowasa is the president to be.