jogoolashamba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 348
- 71
Attention seeker.Kwani yeye ni Mbunge Pekee aliyehudhuria mazishi huko Kagera?
Hizi swaga ni za old skuli magamba wenzako wameshatunga mpya
Imeandikwa usibishane na -------- katika upumbavu wake .naukijikuta umeingia katika kubishana nae .ji kague kama una hekima na busara za kutosha .kamanda keep on grooving don't mind about this f.o.o.ls bus
Pole sana inaonekana una2mia gongo sio bure mungu akusaidie.
sijawahi kuona mmasai wa hovyo kama ww,unless labda umetumia id isiyo yako,ila hata iq yako ni ndogo sna
We mshamba tambuwa huyo babu yenu aliyepooza mkono huwez mfananisha na lowassa
Wewe mwenye IQ kubwa ni nini umeifanyia nchi hii au hata familia yako?
Mimi sisukumwi na Ukabila we Mbwa Jike! Kwa hiyo kuwa kwangu Mmasai lazima nikubaliane na kila Mmasai hata km ni Mwizi? Wacha Usengelenyuma wewe! Km umeolewa ni wewe tu ila usinilazimushe na mimi kuolewa km wewe,mimi ni wa Kiume na sijikombi kwa Mafisadi ili nipate Kibaba cha mkate km wewe.
Kwani sio kweli Lowassa alitimuliwa na Bunge baada ya tume teule chini ya Mwenyekiti Dr Harrison Mwakiembe kumtuhumu kwa kosa la kujiundia kampuni tata ya Richmond na kujinyakulia Tsh,152 kila siku kupitia Tanesco?
Akara Ormaasinda keon,vaai mainyangu ingohola! Te nikitameikio ndaraki atejo Olavuroni Lowassa,homo tagoro aten!
Wewe umekuwa gamba lini unamtetea huyo fisadi....Rais anae subiri kuapishwa.
kwanza nikuambie sishindani na mpuuzi kama wew mwenye akili ndogo,ila sikulaumu kwasabu hiz ni chuki binafs kwa lowassa pili,siwez juwa yawezekana ulivyozaliwa mama yako alikudanganya akakuambia baba yako ni lowassa badala ya kukuambia ukweli halis,kwahy nikuache nisije onekana mpuuzi asiyejiheshimu kama ulivyo
Team Lowasa.....Tanzania inakuhitaji Edward Lowasa kuliko wewe unavyoihitaji Tanzania....Njoo rais wetu utuletee huduma za afya za uhakika, maji ya uhakika, barabara bora,Elimu bora na umeme wa uhakika......In EL we trust 2015
kwanza nikuambie sishindani na mpuuzi kama wew mwenye akili ndogo,ila sikulaumu kwasabu hiz ni chuki binafs kwa lowassa pili,siwez juwa yawezekana ulivyozaliwa mama yako alikudanganya akakuambia baba yako ni lowassa badala ya kukuambia ukweli halis,kwahy nikuache nisije onekana mpuuzi asiyejiheshimu kama ulivyo
Achane kushabikia wanaume kuna mambo kama yaliyopigwa biti uganda, fanyeni kazi
Ukimwona MWANAUME anashadadia kumsifia mwanaume mwenzie basi ujue huyo sio Rizki!
Haiwezekani mtu mwenye akili timamu awe anamlazimisha mwenzie kumpenda mtu asiempenda.
Tatizo lenu nyie ndg zangu ni kudhani kwamba siku Lowassa akiwa Rais basi maisha yenu Wamasai yatabadilika
Mimi ni mmasai ndio lakini itikadi yangu inakinzana na Mafisadi,wewe ni nani hata unihukumu kwa kumpinga Mumeo?
Fanyeni kazi wacheni kujipendekeza kwa waume za watu,mtakuja kujikuta mmebebeshwa Mimba,haya shauri zenu!
Achane kushabikia wanaume kuna mambo kama yaliyopigwa biti uganda, fanyeni kazi
sasa muda wote unazunguka mbuyu wann,kumbe --------- hyo line ya tigo,jitahd uongeze na pampasi,watakutoboa mwaka huu mpaka uishe utakuwa umelowa
kwahy unataka kuniambia ww na wazaz wako mmnavyojipitisha kwa slaa mtakuwa mnamulikwa tigo wote na wazaz wko
Kweli mkuu fisadi apingwe popote, mi tunatoka na mizengo p sehemu moja ila sijawi kumshabikia hata siku, hizo style ya siasa za kwa kina Mm mikoa mingine hatuna, eti mtu kaharibu kwa kuwa ni kabila langu nimshabikie au nimtetee . Aaaa wapiNdugu yangu kuwaelimisha hawa Madoi ni kazi kweli kweli!
Fikiri mtu nimechangia mada kwa kumsahihisha mleta mada kwamba Lowassa ni Waziri mkuu aliefukuzwa na bunge na sio Waziri mkuu mstaafu eti wanaungana kunishambulia na kuniita eti mimi sio mmasai kwa vile tu simuungi mkono Mume wao Fisadi.
Je sio haki yangu kupinga kile nisichokipenda?
Mimi sawa ni Mmasai lakini itikadi yangu inapingana na Mafisadi hata angekua ni Baba yangu.
Imekuingia eeeh , fanyeni kazi vinginevyo mtavaa hata hizo pampas
Kweli mkuu fisadi apingwe popote, mi tunatoka na mizengo p sehemu moja ila sijawi kumshabikia hata siku, hizo style ya siasa za kwa kina Mm mikoa mingine hatuna, eti mtu kaharibu kwa kuwa ni kabila langu nimshabikie au nimtetee . Aaaa wapi