Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli mh Edward Lowassa akisalimiana na sheikh mkuu Alhadji Haruna Kichwabuta pamoja na viongozi wengine mara tu alipowasil imjini Bukoba kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Balozi Fulgence Kazaura le hii.
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli mh Edward Lowassa akisalimiana na sheikh mkuu Alhadji Haruna Kichwabuta pamoja na viongozi wengine mara tu alipowasil imjini Bukoba kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Balozi Fulgence Kazaura le hii.
Rais anae subiri kuapishwa.
Zuzu pekee anayeweza kuona dignity kwa mtu aliyepewa mradi mmoja tu wa RICHMOND ausimamie kisha akaliingiza taifa hasara na mlolongo kibao wa Rushwa kisha mazuzu yanakuja hapa na kumuita mstaafu na sifa nyingine za ovyo ovyo.Inahitaji akili za ovyo ovyo kukubaliana na ushabiki huu wa kikauzu kabisa
Ben saanane uwe unatumia akili ulitaka amtaje mbowe ndio ufurahi we kijana unaiangusha sana chadema uwezo wa kufikili na kupambanua vitu huna kabisa
Team Lowasa.....Tanzania inakuhitaji Edward Lowasa kuliko wewe unavyoihitaji Tanzania....Njoo rais wetu utuletee huduma za afya za uhakika, maji ya uhakika, barabara bora,Elimu bora na umeme wa uhakika......In EL we trust 2015
Kiherehere tu kwisha habari yake. Cheziya CCM. Kama mnampenda thana Lowassa ma mamvi yake basi kanywe nae chai kwa mantilie! Lakini urais., no.no.no.no.mo.mo.moooo...
tulia ww dawa ikuingie,hakuna zaid ya lowassa hizo gongo ndio zimekupumbazaYaani watu wanashangaza kwelikweli!! Mtu akishanunuliwa juisi tu anajitoa ufahamu!! Ktk taifa letu, mtu ambaye hastahili kuonekana barabarani, ni huyu mtu!!
HAKIKA NAWAAMBIA WATZ MTAKUJA KUJUTA KULIKO SASA!! Pigeni kelele kwa ushabiki!!
Hata mlete threads milioni hapa,Lowassa hauziki.Amechafuka na hafai tena. Kwanza,mnalipwa kwa kazi mnayofanya? Fanyeni yenu vijana.Acheni ubendera