Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

Lowassa labda atimkie UDP..maana UKAWA wamtaki
 
bado wanamdanganya mzee lowasa?...
kumbe mijitu haina huruma na huyu mzee asee.


hata aende ukawa ama ACT lowasa HAWEZMAKE....
 
Umeona eehh. Yaani anaboa mpk basi. Sijui ni nani alimwambia kuwa akifanya hivyo ndio atapata umaarusi ktk tasinia ya utangazaji.. Zanta
 
Last edited by a moderator:
bado wanamdanganya mzee lowasa?...
kumbe mijitu haina huruma na huyu mzee asee.


hata aende ukawa ama ACT lowasa HAWEZMAKE....
Kweli kabisa aseeeee! Lowasa anadanganywa na anadanganyika.
 
Kwa Magufuli hata kama huyo Lowasa aungane na Slaa!
Lowasa ndio basi tena!
Na akihama CCM ndio kwisha kazi!
 

Mkuu Naona Umeirudia Hii Comment Ktk Thread Karibu Kumi, Huna Mtazamo Mwingine?
 
Mi Bado Nasubiria Maamuzi Magumu.. Msiniambie Kuwa Nasubiri Meli Airport!
 
Kwa Magufuli hata kama huyo Lowasa aungane na Slaa!
Lowasa ndio basi tena!
Na akihama CCM ndio kwisha kazi!

Tatizo la watanzania mnapenda kuendesha mambo yenu kwa hisia na mihemuko zaidi kuliko uhalisia. Mwaka 2005 wakati Kikwete anagombea mliahidiwa maisha bora kwa kila Mtanzania. Swali la kujiuliza ni kuwa je Kikwete anapoondoka, hayo maisha bora yamepatikana? Maana naona sasa hivi Dr.Magufuli kateuliwa kuwa mgombea mmesahau ahadi ya 2005, mnaanza kufikiria kuwa labda Dr.Magufuli atakuwa na jipya.

Ukweli mchungu ni kuwa chama ni kile kile, sera ni zile zile, mfumo ni ule ule, na viongozi ni wale wale. Hivyo, msitarajie kuwa kutakuwa na mabadiliko yoyote ya kimsingi dhidi ya Dr.Magufuli kama atachaguliwa kuwa Rais. Maana Watanzania mnapenda kulalama tu na kuweka matarajio kwenye ndoto ambazo haziwezi kutimia hata siku moja. CCM ilipofikia ilishachoka tayari. Dawa ni kuipumzisha na kuleta watu wengi. Dr.Magufuli ni divai mpya kwenye chupa ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…