Lowassa na UKAWA Wazomewa "Leaked Video"

Lowassa na UKAWA Wazomewa "Leaked Video"

Ha ha ha nashukuru kwa kuwa mmetambua ccm haiuzi ili watu waangalie ni lazimaa muandike kuhusu lowasa teh teh
 
Sijamuona Lowasa hapo au ni yule anayefunga mlango wa semi?.
 
Pumbafu kabisa wewe hivi Lumumba wanakulipa kiasi gani kila siku kupost mambo ya kipuuzi??? Lowassa anaonekana wapi hapo akizomewa???
Kwanza hapo mi naona watoto wadogo tu wasiojua lolote na wa shule ya msingi au form one, two wasio na madhara yoyote kwenye uchaguzi!!!

Kajipange upya...
 
11230652_1509994905964736_6638481349890343993_n.jpg
 
Acha ujinga wewe chin lowassa ndio rais wa nchi hii wewe unaleta ubongolala hapa acha hizo wewe subiri si ni keshokutwa tu
 
Kwahiyo wewe ni mtoto wa kigogo wa UKAWA.Ninyi nyumbu fanyeni kazi KIJIWENI hakulipi.Mtaendelea kutajirisha UKOO WA MTEI mpaka KIAMA kwa akili hizi kupitia ruzuku.Maana VITI MAALUMU NA RUZUKU WAMEJAA UKOO WAO TU.

Hizo zako zinaitwa akili mgando.
 
Back
Top Bottom