Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,826
- 2,057
eti sasa anajifanya MSUKULE Uchwara!Unafahamu kitu kinaitwa political accountability?
eti sasa anajifanya MSUKULE Uchwara!Unafahamu kitu kinaitwa political accountability?
Hao uliowstaja in wanachama wenu?Afukuzwe Lowassa na Sumaye,Magufuli na CCM yake waachwe?. Waendelee na CCM yao hata Mahakamani wasipelekwe?.
Aha kwa hiyo ulikuwa unamaanisha kuwa Lowassa na Sumaye waondolewe CHADEMA kwa kuwa CHADEMA siyo chama cha wezi wabakie wezi walioko ndani ya CCM kwa kuwa CCM ndiyo chama cha wezi.Hao uliowstaja in wanachama wenu?
Anzeni kuwafukuza Kikwete na Mkapa kwanza huko CCM.[/QUOT
Sema wote washughulikiwe,uchama
pembeni Taifa kwanza