Lowassa na Sumaye wafukuzwe CHADEMA kwa uporaji madini yetu

Chrizant Kibogoyo

Senior Member
Aug 12, 2016
159
225
Sumaye na Lowassa wamekuwa mawaziri wakuu ktk vipindi ambapo serikali walizokuwa wakizisimamia zilipoliingiza taifa ktk mikataba mibovu ya uporaji wa madini na raslimali za taifa letu.

Wote waliotajwa na tume za rais kuhusika na uporaji huo walikuwa chini ya Sumaye na Lowassa.

Aidha taarifa ambazo hazijakanushwa hadi leo zinamtaja Lowassa kuwapo ktk chumba cha hoteli ambako waziri wake Karamagi aliweka sahihi kinyemela mkataba Wa uchimbaji madini mgodi wa Buzwagi.

Kwa vipindi mbali mbali wakati wabunge wa upinzani wakipaza sauti kupinga uingiwaji Wa mikataba mibovu ya madini Sumaye na Lowassa kama viongozi Wa shughuli za serikal bungeni waliwaongoza mawaziri na wabunge Wa CCM kuwazomea na kuwakejeli waliokuwa wakipinga uporaji huo wa raslimali madini.

Sumaye na Lowassa wakasimamia upitishwaji Wa sheria mbovu za madini chini ya hati za dharura, lengo ikiwa no kuwakosesha fursa wabunge kusoma kwa kina, kuelewa na kuboresha sheria husika.

Lowassa alienda mbali zaidi kuwaongoza mawaziri na wabunge Wa CCM kumfukuza Zitto bungeni kwa kuibua kashfa ya Karamagi kusaini kinyemela mkataba mbovu wa mgodi wa Buzwagi. Pia kwa kutumia msdaraka take vibaya akatumia raslimali za umma kuwawezesha mawaziri kuzunguka mikoani kuwadanganya wananchi kuhusu suala hilo.

Kitendo cha Rais Magufuli kuwataja hadharani viongozi mbalimbali kutoka CCM anayoiongoza kuwa wawajibishwe kwa kuhusika na kufanikisha uporaji wamadini yetu pasipo kuweka maslahi ya chama chake mbele kuwafichia madhambi yao ni ujasiri mkubwa sana na aina mpya ya uongozi ndani ya taifa hili.

Vivyo hivyo uongozi Wa Chadem unatakiwa kuonyesha ujasiri kama huo kwa kuwafukuza uanachama Sumaye na Lowassa kwa kushindwa kuwasimamia waliokuwa wakiwaongoza, kushindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo na kushiriki ktk uporaji madini yetu.

Chadema ikishindwa kufanya hivyo itakuwa inajizika yenyewe kwa kuwa si wstanzania wengi watakubali kuendelea kuongozwa na Sumaye na Lowassa.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,061
2,000

Rubbish, takataka, talk of Kikwete and Mkapa first! Rubbish!
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
27,001

Anzeni kuwafukuza Kikwete na Mkapa kwanza huko CCM.
 
Chrizant Kibogoyo

Senior Member
Aug 12, 2016
159
225
Rubbish, takataka, talk of Kikwete and Mkapa first! Rubbish!
Kwani mnapodai kuwa miswada mibovu ya madini ilipitishwa bungeni kw hati za dharura. Nani walikuwa viongozi wa serikali bungeni waliosimamia utungwaji Wa miswada mibovu ya madini, uwasilishwaji wake na kuwapanga wabunge Wa ccm kuipitisha haraka harska?
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,061
2,000
Kwani mnapodai kuwa miswada mibovu ya madini ilipitishwa bungeni kw hati za dharura. Nani walikuwa vio gozi wa serikali bungeni waliosimamia utungwaji Wa miswada husika?
Ukiwataja hao bila kutanguliza Mkapa na Kikwete ni unafiki, utapingwa kila kona. Let them all be accountable, not selective prosecution!
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
14,084
2,000
Kwani mnapodai kuwa miswada mibovu ya madini ilipitishwa bungeni kw hati za dharura. Nani walikuwa vio gozi wa serikali bungeni waliosimamia utungwaji Wa miswada husika?
Shida siyo Lowassa, $umaye, CDM au nani!!
Shida ni Katiba mbovu , bunge la ndio,CCM na Mkapa
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,203
2,000
Kwani hao uliowataja wapo ndani ya chama kilichoasisi mapambano dhidi ya uporaji raslimali za taiga. Think outside the box brother. Chama kinanajisika
Kwa maana sijakuelewa wewe unataka kutoa report ya tatu??maana ya kwanza na pili waliona hawausiki sasa wewe nizaidi ya majopo yaliokaa katika tume tatu?Migodi ni mikataba mibovu iliyopitishwa na secretariet ya rais na minsterial cabinet hakuna maamuzi ya mtu mmoja katika mikataba ni swala la serikali.
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,861
2,000
Afukuzwe Lowassa na Sumaye,Magufuli na CCM yake waachwe?. Waendelee na CCM yao hata Mahakamani wasipelekwe?.
 
Chrizant Kibogoyo

Senior Member
Aug 12, 2016
159
225
Kwa maana sijakuelewa wewe unataka kutoa report ya tatu??maana ya kwanza na pili waliona hawausiki sasa wewe nizaidi ya majopo yaliokaa katika tume tatu?Migodi ni mikataba mibovu iliyopitishwa na secretariet ya rais na minsterial cabinet hakuna maamuzi ya mtu mmoja katika mikataba ni swala la serikali.
Unafahamu kitu kinaitwa political accountability?
 
Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,834
2,000
Kwani mnapodai kuwa miswada mibovu ya madini ilipitishwa bungeni kw hati za dharura. Nani walikuwa viongozi wa serikali bungeni waliosimamia utungwaji Wa miswada mibovu ya madini, uwasilishwaji wake na kuwapanga wabunge Wa ccm kuipitisha haraka harska?
hayo ndiyo matatizo ya kufikiri kutumia Masaburi!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom