Lowassa na Sumaye hamna nafasi CHADEMA

mada hiyo mod waliona waiungamishe na mada nyingine ila ukweli utadhihiri siku moja
 
Sumaye arudi ccm atarudishiwa mali zake pia atapata nafasi ya kugombea uenyekiti
 
Hii ni tahadhari kwa hao kina Lowassa na uongozi wa CHADEMA!
CHADEMA iandae uongozi thabiti wa kushika dola, kwani 2015 wananchi wamejipanga. Hakuna politics!
Mkuu Homa ya Uti wa Mgongo, Meningitis, kwa bandiko hili la Jan 4, 1914, nakuvulia kofia!. Umetisha, uliona mbali, ukatoa angalizo kuhusu watu hawa!. Kumbe uliokuwa unawapa angalizo, uwezo wa uoni wao ni hadi mwisho tuu wa pua zao!. Wakawakumbatia, wananchi wakawatosa, sasa 2020 Chadema inakwenda kuvuna ilichopanda.
P
 
Hapa ndo tunaposema kuwa akiba ya maneno lazima ifichwe kama mbupu.
 
Mkuu ..kuna watu tupo serious sana kwenye issues...Tuliyaona haya yote ..tukasema kwa uwazi kabisa.leo hii yametimia kwa asilimia 100.
Niliwaonya wahusika wote bila kupepesa macho.
Wachache walinielewa...
Naamini naweza kuingia kwenye orodha ya mitume na watabiri.
2020 Ipo karibu sana na nisisikie mtu akilia eti Chadema watahujumiwa!Ushindi mzito kwa CCM zaidi ya asilimia 99 ni jambo lililowazi na nililitabiri katika thread hii.
 
We jamaa mbona huelewekagi?
 
Kiukweli Chadema ni sikio la kufa.
P
 
Toka Januari 2014 nilijua Lowassa na Sumaye watahamia Chadema ...nilijua nia hii nikawaasa wanachadema ila kama alivyo kenge huwa hasikii mkwaju hadi damu zimtoke masikioni.
uliona mbali sana mkuu

nyie ndio magreater thinker sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…