Lowassa na Sumaye hamna nafasi CHADEMA


Msimamo huu wengine tumeendelea nao na nawashukuru na kuwapongeza wale wote ambao hawakuwa tayari kusalimu amri na kucompromise on this fundamental principle!!
 
Mkuu heshima kwako sana, sisi tulipiga kelele sana juu ya kupokea mafisadi, tuliishia kuitwa buku 7 na Lumumba. Leo hii lichama linajifia kifo cha kawaida,inauma sana nchi kukosa upinzani.
 

Jf si ya mchezo mchezo.

Wanafiki wanaumbuka kweupe.
 
Sasa hivi Lowassa Na Sumaye wako wapi mangi?
 
kuwapa chadema nchi ni sawa na mchezo wa `kubet' probability ya kushinda huwa ni ndogo sana!
 
Msimamo huu wengine tumeendelea nao na nawashukuru na kuwapongeza wale wote ambao hawakuwa tayari kusalimu amri na kucompromise on this fundamental principle!!
Mwanakijiji we ulibadilika kisa ukabila, yaa usukuma wa magufuli ulikufanya umkatae lowassa, lakin angegombea membe usinge mpinga lowassa , chezea bilion weww
 
Salaam.

nyote mtakumbuka kuhusu upep na kimbunga cha neno msaliti kilivyo vuma na kutimua vumbi kiasi cha kuleta mtafaruku mkubwa ndani ya chama kisa tuhuma za usaliti dhidi ya Bwana Kabwe (ambazo mpaka leo kwa hakika hazijathibitishwa kwa asilimia zinazo ridhisha)

baadae kidogo chama kikampokea mtu ambaye alisemwa sana kuwa ni fisadi kwa kile kilicho itwa kubadili gia angani
na makamanda tukapiga kimya huku walio tokwa damu wakikimbilia kanada/kwingineko nje ya nchi kwa tuhuma zilezile za kuitwa wasaliti.

swali ni je Angekuwa zitto kabwe kwa wadhifa aliokuwa nao ndani ya chama aamue tu kwenda ikulu kumshukuru na kumpongeza raisi kwa kazi anazofanya(kama Ngoyai alivyo jipambanua leo) HALI INGEKUWAJE?

Zitto angepewa jina gani?
je vikao vya dharula visingefanyika kwa kasi ya upepo?
nakuambieni huyo kigogo aliyepaswa kupokelewa na mangula leo sio huyu alie pokelewa leo hapo wamebadili gia angani tu, kuna vitu havijakamilika ilipaswa awe kigogo haswa

ila muda utaongea. Peoples power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…