Lowassa na Kiingereza chake!

 
kweli nimeona yanatoka kumkichwa!lakini bahati ya kuandika na kukariri siku nzima!hapa mniruhusu tu nimkumbuke big Ben Rais mstaafu,alikua akizungumza una enjoy!
 
We ndugu huna hata aibu unataka rais wa nch ajue kiingereza kwan lazima.shame upon you

tatizo lile lile!mbona mnakurupuka kuzungumzia sana urais ?hii ya urais mnaitoa wapi kwenye post yangu??????ngoja niwakumbushe nilichopost naona kuna upotoshaji wa makusudi hapa watu kujidai eti hawajui kusoma kiswahili nilichoandika!
 
Naona anaongea kingereza cha kueleweka, hivi anaweza kulinganishwa na obasanjo ile lafudhi yake isiyoeleweka?
 
Naona anaongea kingereza cha kueleweka, hivi anaweza kulinganishwa na obasanjo ile lafudhi yake isiyoeleweka?

Ni kweli kabisa hata mimi nimemuelewa!ila nilitaka mumuone akiongea kiingereza...
 
Ni kweli kabisa hata mimi nimemuelewa!ila nilitaka mumuone akiongea kiingereza...
Well anesema elimu ni kipaumbele cha kwanza, kipaumbele cha pili, kipaumbele cha tatu. In English education is priority no 1, priority no 3, priority no 3. Sijui alikuwa anamaanisha nini? Labda mnisaidie. Lini
wanasmua iwe no 1 Leo kesho no 2 etc. Oh well.
Nadhani issue Si kingereza, issue ni kujenga hoja Makini
na ya kueleweka kutumia lugha ambayo sio mother tangue. To me hakufanikiwa sana kwenye hii clip. He talks too fast though!
 
Ptuuuuuu, upupu tu. Hujui hata unachochangia.
 
Acha kujibaraguza wewe. Wachangiaji wengi wamekuponda kwa kuendekeza ukoloni wa kudhani kujua kiingereza ni deal sasa unakimbilia kwenye hoja ya urais.
 
Unajisifia kuwa mtumwa. Unafurahia kuwa mtumwa.-kwane hautokuwa huru.
 
Kaniacha hoi aliposema without education you can not improve poverty!
 
Makubwa!
Kwani kujua English ndo uwezo wa kuongoza?
Basi namuunga mkono mchangiaji aliyewasikitikia wachina kwa kuwa na rais asojua kiingereza!
Bado tumetawaliwa kumbe?
Uyakinifu unahitajika!
 
Acha kujibaraguza wewe. Wachangiaji wengi wamekuponda kwa kuendekeza ukoloni wa kudhani kujua kiingereza ni deal sasa unakimbilia kwenye hoja ya urais. Inaonekana wewe Camerun anakufurahisha sana anapoongea. Ptuuuuuuu!!

Kweli bado kuna watu wako ktk ukoloni.
Halafu eti anajisifia anaijua cnn kuliko mtu yeyote.
Kuna watu na viatu!
 

Bora mimi sijasema!!!!
 
Acha kujibaraguza wewe. Wachangiaji wengi wamekuponda kwa kuendekeza ukoloni wa kudhani kujua kiingereza ni deal sasa unakimbilia kwenye hoja ya urais. Inaonekana wewe Camerun anakufurahisha sana anapoongea. Ptuuuuuuu!!

Halafu mdau nimefuatilia comment zako nyingi lazima umtaje lowassa na camerun!!vipi huko nyuma ulikua hivyo hivyo au???napata mashaka pengine mwenzetu ni muumini wa ile "don't ask don't tell" (google utaelewa namaanisha nini) ngoja tukuachie raha zako!but according to my post issue hapa ni lowassa na kiingereza chake twende kwenye angle hiyo urais bado sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…