Character X
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 331
- 382
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri

Inaelekea Kimei ameonekana ni threat kwa interests za watu na hivyo juhudi zinahitajika kummaliza. Baya ni kwamba hizo juhudi siyo kwa sababu za kitaifa, bali za kibinafsi!!
Typical of how we Tanzanians elevate personal in place of national interests!!
On the other hand, such things are part of any society, tragedy will come if such rhetoric will influence the actual appointment to such an important post.
Unachekesha sana wewe bwana.kwani neno "improve" umelielewaje?.wewe ndio ujuwi english sasa.pole sana brother.Hujawahi sikia negative or positive improvements?.😀😀😀
Improvement Could be Negative Or Positive like saying Clockwise and ant clockwise kwa mfano I had improved now from poverty due to agricultural projects
Improvement Could be Negative Or Positive like saying Clockwise and ant clockwise kwa mfano I had improved now from poverty due to agricultural projects
"An empty stomach cannot provide for an empty head ." Lowassa's bombastic English.